Search results

  1. M

    Tanzanite One Mining Ltd yaelekea kufilisika

    Kuna Jamaa aliajiriwa pale kama Finance Director anaitwa Godfrey Temba. Ni kijana ila alijishau akapata ulevi wa madaraka akagombana na vijana wote kwa adha ya wivu na madaraka. Vijana tuache visa kwa kazi za watu, hii ni dunia inapita tu. Nani anajua yuko wapi huyu mtu??
  2. M

    WORLD VISION ni shirika la wachaga??

    Nadhani mtoa mada ni BOLD kama anavyojiita mwenyewe. Kwa kazi anayoifanya nilitegemea awe na weledi wa hali ya juu ya kuweza kuchambua mbichi na mbivu. Consultant anaeweza kupata tender world vision na asie na uelewa kama mheshimiwa BOLD ni hatari kwa taifa la nchi. Kuongelea ukabila kwa...
  3. M

    Kutoa taarifa za siri katika Mawasiliano ya Elektroniki ni kosa la jinai

    Serikali imelala naona inaanza kuamka. Inabidi serikali itambua hata ikulu kuna watu wamechoshwa na maovu ya serikali. Hicyo habari zitapatikana tu....
  4. M

    Tunakusanya Kero ambazo ungependa zisemewe Bungeni na Nje ya Bunge na Viongozi wa CHADEMA

    Ndugu wabunge..Mimi nina mengi sana yakusema ila leo natoa hoja moja tu. 1.Tanzanite gemstone kwasasa hazisafirishwi nje ya nchi hadi ziwe processed hapa hapa Tanzania, Tanzaniteone Mining walikuwa wana export Tanzanite with Zero VAT, sasa Tanzanite inauzwa nje ikiwa tayari iko...
  5. M

    Nape na Mwigulu naomba mnijibu...

    Kaka Mwigulu: I salute you. Nakumbuka hekaheka zako toka ukiwa Mazengo school za kupata nafasi za kisiasa kama ubunge na uwaziri naona unanukia. Naomba nikuonye Mr. Mwigulu Nchemba, Amini yakuwa watanzania wa leo si wa enzi za nyerere, watu wameamka na wana upeo wakupembua mbivu na mbichi...
  6. M

    Makala hii katika Tanzania Daima imenivutia mno

    Nimesoma hii makala machozi yakanitoka....! Ila nawahakikishia hayo ni 0.1% ya mambo yanayofanywa na CCM. Naomba niwajuze..mimi nimfanyakazi hapa Tanzaniteone Mining Ltd. Toka nimekuwa madini nyetu yanapelekwa nje kwa nia ya transfer prices.. yanaenda Dubai, South africa, Dubai, Bermuda...nk...
  7. M

    Arusha na silaha

    Ni ajabu sana kwani kila kijana anaejitahidi kimaisha ananunua silaha arusha.Hata wale wanaojiita wanaapollo wana silaha sasa mwaka ukipita hajapata Tanzaniate wanatumia silaha kuvamia na kuiba. I don`t buy the idea kwamba kuwa na silaha ni maendeleo.......
  8. M

    Kwa Anaefahamu NGO yeyote Arusha...

    Give out contacts for details.
  9. M

    A good speech ever from Rupia Banda after defeat and lesson to CCM

    Natamani siku Moja wan CCM watoe hatuba kama hii. President Rupiah Banda I HAVE CALLED THIS PRESS CONFERENCE TO SAY A FEW WORDS. THE ELECTION CAMPAIGN OF 2011 IS OVER. THE PEOPLE OF ZAMBIA HAVE SPOKEN AND WE MUST ALL LISTEN. SOME WILL BE HAPPY WITH WHAT THEY HAVE HEARD, OTHERS WILL NOT. THE...
Back
Top Bottom