mkuu uko sahihi kabisa mimi nilianza kwa kuleta mahindi dar kutoka dodoma nilipata faida maramoja tu na hasara mara tatu,kwasababu ya price flactuation,unanunua kwa bei kubwa unakuta bei ya soko imeshuka, na wateja maranyingi wanachukua kwa mkopo kwa hiyo unalazimika kukaa kama wiki moja au...
Wakuu poleli sana na majukumu ya kujenga taifa<BR>swala la hali ya chakula linatishia kugarimu maisha ya watanzania walio wengi,bei za nafaka hususani mahindi yamepanda kuliko kawaida<BR> kwa mfano mwezi uliopita katka soko la manzese mahindi yalinunuliwa sh 300 kwa kilo,lakini leo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.