Search results

  1. makeyzan

    Hata ningesikia serekali tano ningeunga mkono

    Ndio ni kweli naunga mkono rasimu ya katiba iliyopendekezwana tume ya mabadiliko ya katiba iliyo chini ya zee wetu walioba kwa kupendekeza serikali tatu.Napenda kufanya uchambuzi wangu binafsikwamba kwa nini hata ningesikia rasimu ya katiba ya jamhuri ya muungano waTanzania ingependekeza...
  2. makeyzan

    Chama cha Walimu Tanzania (CWT) chaanza kugawanyika

    Kwa habari nilizozipata jamani kunachama kipya ndani ya CWT kimeundwa chenye jina la (maafisa elimu) na makao yakemakuu yapo mkoa wa Mbeya. chama hiki hakijawa rasmi kwa sababu inasemekanamsajiri wa vyama na waajiri anawazungushazungusha mara leo kalete hiki na keshokalete kile ailimradi...
  3. makeyzan

    Mambo 10 wananchi wa Arumeru walivyowaza

    1. Waliwaza nani atakayejuja kuikomboa seemu yao? 2. Waliwaza nanai atakeyesema anajituma kwaajiri yao na wao wakumkubali? 3.Waliwaza nani aliyemwema wamchague na akawakejeri wanzake kwamba yeye ni mwema? 4. Waliwaza nani watakaye mwamini wakakampa seemu yao na akatetea mafanikio yao? 5.Waliwaza...
Back
Top Bottom