Search results

  1. H

    PINDA: Ukiwa mkaidi usilalamike pale kichapo kitakapokufikia

    Kauli ya Mhe. Waziri MKuu Asubuhi ya leo Alhamis, 20 Juni 2013 Bungeni..... ''Polisi wataendelea kupiga, na hawataacha......kila atakayekaidi amri ya polisi ATAPIGWA tu'' Hii inamaanisha nini kwa majukumu ya Jeshi la Polisi? Je, itabadili shughuli ya kikatiba ya Polisi kama chombo cha...
  2. H

    Ommy dimpoz amchana shigongo

    ni mcheza Sumo
  3. H

    NAJIULIZA... Je ni hali ya Usalama Darfur au Muendelezo wa 'Vita Baridi' ya JK Vs Kagame?

    Wasalaam wapendwa, Najiuliza sana juu ya uamuzi wa ghafla wa Serikali kuzizuia timu za Yanga na Simba kushiriki Kombe la Kagame huko Darfur..... Je, ni kweli ni uamuzi wa kiusalama au ni muendelezo wa vita ya Kagame na Kikwete. Waziri wa mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa Mhe. Bernard...
  4. H

    Je, Nelson Mandela anastahili anavyotukuzwa?

    Kaka kwa maneno yako sina cha kuongeza umepiga palepale kwenye point bila KONA.
  5. H

    Je, Nelson Mandela anastahili anavyotukuzwa?

    Of course He is calm and innocent....BUT that is not the issue here..... We are discussing his contribution to Africa as a Continent by comparing him with other greats like Mwl. Nyerere and Nkrumah... Njoo tena
  6. H

    Je, Nelson Mandela anastahili anavyotukuzwa?

    Kaka mkuu njoo na hoja Mandela kalifanyia nini bara la Afrika ukulinganisha na mfano amabvyo Mwl. aliongoza mapambano ya ukombozi wa nchi za kusini mwa Afrika kwa HALI na RASILIMALI. Au juhudi za kuleta umoja wa Afrika zilizofanywa na Kwame Nkrumah..... Au hata mapambano ya ubepari na ukoloni...
  7. H

    Je, Nelson Mandela anastahili anavyotukuzwa?

    Kwahilo amekuwa mfano kiukweli.... Labda uhame hapo uje na hoje ya namna gani ametoa mchango kwa Bara la Afrika, na jamii ya weusi pale S.A.
  8. H

    Je, Nelson Mandela anastahili anavyotukuzwa?

    Ndugu Stroke, kwa bahati nzuri au mbaya hata mtaala uliokuwa unafundisha historia ya Afrika miaka kaka yako nasoma sio uliopo sasa. So Necta 2013 sidhani kama wana nafasi nzuri ya kucomment hapa labda kwa juhudi binafsi.
  9. H

    Je, Nelson Mandela anastahili anavyotukuzwa?

    Kaka Mandela anafahamika kwa anayofahamika, hayo huwezi kupinga....... Nakuomba ujenge hoja kwa kuchambua mchango wa Mzee wetu huyu kwa Bara la Afrika nje ya S.A ukilinganisha na jina lake.
  10. H

    Je, Nelson Mandela anastahili anavyotukuzwa?

    Ni kweli kabisa ulivyosema, lakini swali LANGU ni kulinganisha MCHANGO wa Mandela na viongozi wengine kama Mwl. Nyerere katika AFRIKA kama bara ukiachia ndani ya nchi zao ili kupata picha ya Kiongozi mwenye mchango zaidi Afrika.
  11. H

    Je, Nelson Mandela anastahili anavyotukuzwa?

    Namheshimu sana Nelson Mandela, natambua sana mchango wake kwa taifa la Afrika ya Kusini. Historia yake ya kutoka gerezani na kuingia ikulu hakika inavutia na ni kitu cha kutia moyo kwa wapigania haki. Zaidi atakumbukwa kwa RECONCILIATION a...liyoleta Afrika ya Kusini baina ya Weupe na...
  12. H

    Sheria ya hifadhi ya mazingira ya ukanda ziwa wa mita 60 za ziwa inasemaje?

    Sheriä ya Usimamizi wa Mazingira No. 20 ya mwaka 2004 (vifungu vya 57 na 232 vinahusika) ........ sheria hii ndio hasa inahusika na masuala ya uhifadhi wa mazingira. na inataka kuwepo na Mita 60 kutoka kwa chanzo cha maji na shughuli za binadamü. na alichokisema Mhe. hapo abt Regulations ni sawa...
Back
Top Bottom