Search results

  1. H

    Mkurugenzi mkuu bodi ya kahawa azidi kupagawa

    Wewe ni Kumburu nini? Au kibaraka yake bite? Itawashinda na kuna siku mtajutia ubabe wenu.
  2. H

    Mkurugenzi Mkuu Bodi ya Kahawa Adolph Kumburu ndiye tatizo

    Haya mambo yamezungumzwa na wafanyakazi wa bodi ya kahawa kwa zaidi ya miaka mitatu sasa na kusababisha kuvunjwa kwa bodi ya Ngeze na Mh Waziri Maghembe kuhamishiwa wizara ya maji. Inashangaza kuona kwamba Waziri Chiza anamkumbatia Kumburu ambaye kila wakati yeye anasababisha migongano baina ya...
  3. H

    Pius Ngeze: Mfupa uliomshinda fisi waonyesha dalili za kupata mlaji...

    :A S 109:Mbunge wa Mbozi alikuwa ameandaliwa na Kumburu ili amsemee. Tulijua na ni yeye pia ndiye aliyemwandikia barua aliyopeleka kwa waziri, kwani hatujui? Mambo ya Bodi ya Kahawa Zambi angejuaje? Alikatiwa jamani.
  4. H

    Leo......... Jamaa ameopoa mama wa kichaga

    :nono: Naomba huu uzi ukatwe kwa sababu haiendani na maadili.
  5. H

    Kulikoni bodi ya kahawa Moshi?

    My friends. Mr Kamburu is another Jairo. He is abusing his own profession and responsibilities. The prime minister may face a question related to this scandle by thursday in the instant question session. What is special to this guy? Kiburi cha kuwanyanyasa watanzania ametoa wapi? Asome Katiba ya...
  6. H

    Bosi wa bodi ya kahawa anaendesha shirika la umma kama shirika lake binafsi

    Mh waziri wa Kilimo mbona hushughulikii swala hili la bodi ya Kahawa? Au nako kuna kuchakachua? Mkurugenzi Mkuu bado anatunyanyasa na kutuhamisha bila kuzingatia haki ya watumishi. Tunakosa pakuegemea jamani. Nae awajibishwe.
  7. H

    Pinda: Rais amenipa maagizo mapya

    Ni kweli nchi imefilisika kiuongozi. Kwa mawazo yangu nafikiri Pinda na Mkuu wa nchi wanataka kuokoa jahazi la bajeti ya wizara ya Nishati na Maadini ili ipite. Mimi NASHAURI tujitahidi kwanza tupate umeme ili tufanye kazi.
  8. H

    How to use JamiiForums effectively

    Bodi ya kahawa imekumbwa na jinamizi gani jamani? Chanzo ni wanunuzi wa kahawa au mwenyekiti wa bodi yao au mkurugenzi mkuu?
Back
Top Bottom