Salva aache kuongopea watu. Bodi imesema bado hairidhishwi na hali ya rushwa tanzania pia kutolewa kwa hela hizo za MCC itategemea Tanzania itaperform vipi kwenye kipimo cha kupambana cha mwaka 2016 na rushwa na pia jinsi itakavyo simamia uchaguzi wa mwaka huu
Someni website ya MCC
Japokuwa sio mshabiki wa Kikwete kwa hili na mtetea. Jakaya Kikwete hajaenda marekani kwa mwaliko wa Obama wala serikali ya marekani bali amekwenda kwenye mkutano wa mwaka wa umoja wa mataifa ambao marais wengi huudhuria na kutoa hotuba. Pia viongozi wengi hutumia fursa hii kukutana na viongozi...
Thatha umekurupuka. Lowasa sio mkatoliki, ni mrutheli, atakama atatakushinda urais ambayo ni ngumu atahitaji uungwaji mkono sio tu na wakatolic bali madhehebu na dini zote. Mstaafu Apson kuwa mkurugenzi/meneja wa kampeini sio dhambi ni haki yake. Cha msingi kwake yeye na zaidi kwa watanzania...
TUWEKE HISTORIA SAWA
Sio lazima huwe mjuvi wa historia ya Tanzania bali unakila sababu ya kukumbuka 100% ya historia ya BABA YAKO! kwa sababu ni historia ya familia yako na vizazi vyako vijavyo.
JOHN SAMWEL "CHINYEMWISI" MALECHELA, alifukuzwa/ondolewa kwenye nafasi ya uwaziri mkuu kwa sababu...
Katika mwezi mmoja na kidogo tumeshuhudia hali ya kisiasa ikibadirika kila kukicha ndani ya Jamuhuri ya Ukraini.Kwanza kwa aliyekuwa rais kugoma kusaini mkataba wa kibiashara na Umoja wa Ulaya na kukubali msaada wa mabilioni ya madola kutoka Jamuhuri ya Russia na hivyo kuamasha hisia kali na za...
Inasikitisha sana kuona bunge na serikali dhaifu limerudisha JKT bila kufanya tafakuli ya kina. Na sema hivyo kwa sababu tofauti na JKT ya mwl. Nyerere iliyojikita katika kufunza maadili,ukakamavu, nguvu kazi pamoja na uzalishaji, JKT ya awamu hii pamoja na nyakati kuwa tofauti - najua bado...
Spika Anna Makinda kwa mara nyingine tena amewafunga midomo wabunge kwa kukataa hoja yoyote binafsi ambayo ilikuwa inataka kujadili swala la gesi ya Mtwara eti kwa kisingizio kwamba kuwa ni zito na nyeti, linalopaswa kujadiliwa kwa hekima kubwa na busara ya kutosha ili kupata muafaka wa kweli...
WanaJF
CHADEMA na baadhi ya wadau wengine (TGNP,Jukwaa la Katiba etc) wamependekeza kwenye Tume ya mabadiriko ya katiba kuingizwa katika katiba mpya kipengere kinachoweka utawala wa majimbo(states) na kuhainisha ni mikoa gani katika ramani ya sasa hivi inapashwa kufanya majimbo hayo. Hii ni...
Nimeshangazwa NA kushtushwa na baadhi na maoni na mapendekezo ya Spika Anne Makinda kuhusu katiba mpya. Lililonishtua zaidi ni pendekezo lake la kuwepo kwa baraza la seneti ambalo linatakuwa NA wajumbe ambao hakuinisha kama watacganguliwa au kuteuliwa. Na kama watakuwa wakuchaguliwa...
Kwa taarifa yako prof Shivji ni mtanganyika, mhaya wa hamgembe bukoba na anachapa kihaya kama anakili nzuri...muulize mshikaji wake Jenerali Ulimwengu!
Watu wa Kagera wanahistoria ya kuwa wapinzani; ameshakuwepo mbunge Mtungirei(CUF) na Tegabwage (NCCR). Katika uchaguzi wa 2010 mgombea wa Chadema jimbo la Karagwe walimchakachua. Watu wa Kagera sio wajinga hata hao wabunge wa Magamba walio wachagua, ndio pengine wabunge bora kwa vigezo vyote...
Hi Mh. Mnyika yuko sahihi; Tanzania imepoteza mwelekeo na nafasi yake katika nyanja ya kimataifa baada ya kauchana na sera za Self-reliance na kuto fungamana na upande wowote. Tanzania ilikuwa msemaji wa maskini na wanaoonewa, ikikataa kuchaguliwa marafiki na maadui. kwa msimamo huu, Tanzania...
Kuwa Great thinker ni pamoja na kupenda na kujenga tabia ya kujisomea
Itikadi ya Chama
CHADEMA ni chama cha itikadi ya MRENGO WA KATI (center party).
CHADEMA ni chama kinachoamini kukuza na kuimarisha uchumi wa nchi kwa kutumia raslimali za nchi yetu bila kuathiri uhuru wa Taifa, na...
FF let be assuared there is no text in this world that has been recorded that Nyerere admitted that he failed!.On his fare well tour abroad, specifically in UK at westminister and infront of group of admirer journalists he was asked and I quote "Mwalimu why have you choosen to leave now while...
Lole acha kukurupuka: Je unajua kwamba Chadema ni chama kinachoamini katika mrengo wa wakati na falsafa ya umma? Au ni uvivu wa kusoma?chadema inaamini katika kujenga tabaka la kati la wafanyakazi, wakulima na wafanyabiashara.
Chini hapa ni extract kutoka official website ya Chadema kuhusu...
We mwanaone sijui kama uko tayari kuona.Chadema imesema wazi kwamba iko tayari kushirikiana na chama chochote makini katika mapambano yake dhidi ya chama tawala. Vile vile chadema imekuwa tayari kuwapokea wanaccm safi, wazalendo na wapiganaji wa kwa nchi hii.lakini hawa wasipojiunga na chadema...
Hao wanaogopa reaction ya wananchi sababu jamaa wamechomoka na pia sasa hivi kama mmenote kuna kampaini kubwa ya kuuza muswada wa katiba mpya ambao wanasema wanasiasa-CDM waliupotosha and so wananchi hawakuelewa! So wapisha kipindi hiki wawapumbaze wananchi then wasome kesi!
Hakuna kitu hapo...
Ebu toa ma.vi yako hapa na usipoteze muda wako kutaka kuwadanganya watanzania. Kwanza waziri wako kilaza kadanganya kuhusu Kenya- soma reply yangu kwa mwanajamvi. Tatizo la CCM imewekeza katika siasa za kulinda na majungu na katika hizi hakuna weredi. Tume ya katiba haitachaguliwa na rais...
Huyu mama muongo, mzandiki na hana nia njema na mwenendo mzima wa kuandika katiba mpya. Kitu kingine sisi watanzania tumekuwa maskini kwa kuamini kila kitu tunachoambiwa na viongozi wetu hata kama wanatudanganya.kila mtu anajua Uganda wana katiba mbaya -juzi kiiza Besigye kakatazwa kutembea...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.