Search results

  1. B

    Mauaji ya Daud Mwangosi: Mkurugenzi wa Vilabu vya Waandishi wa Habari Aongea...

    Tumewasikia ndugu wana UTPC. Wasiwasi wetu rupia inaweza kupenyezwa na ikawa ndio mwisho wa jambo hili. Ila ninachukua wasaa huu kuwaasa ndugu wana habari, hususani viongozi wa UTPC, kama jambo hili hamtalichukulia kwa uzito wake au mkaruhusu rupia kuwapumbaza basi dhambi yake itawatafuna...
  2. B

    Dr Ulimboka: Bora serikali iajiri ma daktari wapya.

    Siyo Sayansi kimu hii kijana.....na wala sio Bunge hadi kina Komba wamo ndani....Pia sio ramli. This is Medicine.!
  3. B

    Zitto: Dr Ulimboka kutekwa, kupigwa na kuumizwa; Serikali inawajibika kutueleza

    Jumatatu Asubuhi katika Kipindi cha Power Breakfast kinachoruswa na Radio Clouds...Mtangazaji mmoja (sina uhakika ilikua ni sauti ya PJ au Gerald Hando) aliongea maneno makali sana kuhusu Dr. Ulimboka. Maneno ya kumdhalilisha, kumkashifu, kumfanya aonekane hana maana katika jamii, aonekane...
  4. B

    Mubarak ahukumiwa Kifungo cha Maisha Jela

    Jamaa anajiweka karibu na Wamerekani akifikiri wanaweza kumsaidia endapo mambo yatakwenda mrama hahahaha. Anatakiwa ajifunze, Americans have neither permanent friends nor permanent enemies but permanent interest.!!
  5. B

    CHADEMA:Kesi ya kupinga uchaguzi wa wabunge wa Africa mashariki kutajwa leo.

    Hapa kuna walakini, vinginevyo kamanda Lissu atujuze sababu za kitaalam zilizopelekea Komu kuamua kufungua kesi hiyo Mahakama ya Dodoma badala ya Mahakama ya A. mashariki. Tujuzwe jamani tusije kuwa na mawazo yasiyozingatia taaluma....
  6. B

    Wabunge wa mkoa wa DSM kumbana mkurungenzi mkuu wa NHC (Nehemia Msechu)

    Mimi nafikiri NHC kuna mambo mengi ya kuangalia zaidi ya hizo Nyumba......Sidhani kama CAG kapita huko vizuri na kama kapita Taarifa zinasemaje? Ifike mahali haya mashirika ya Uma yatolewe report zake individually. Huu ujenzi tunaouskia kila siku mara Medeli, Mara Mindu, Mara Ubungo nina shaka...
Back
Top Bottom