Hebu tujikumbushe: kwa mujibu wa sheria za nchi hii, muajiriwa wa serikali anatakiwa astaafu akiwa na umri gani? Mawaziri, wabunge, majaji na wengine wote waliopo kwenye ajira, umri wao unaruhusu?
Sasa na hizo bumps (matuta) zipo kisheria? Ama ni maamuzi tu ya mtu / kikundi cha wahuni tu, tujipange kisheria kuishtaki serikali kwa kutuharibia magari yetu kisa bumps kwani sheria hazipo za mwendo wa kasi?
Aliomba mwenyewe kutokuendela mpaka 2015 aje kujenga mazingira natimu ya kampeni na kujiandaa kwa ajili ya 2015 kwakuwa angekaa mpaka muda huo asingepata muda wa kujiandaa unajua M4C nayo inakuja vibaya
KAZI KWELI KWELI
Hivi tunawezaje kuishi kwa matumizi yafuatayo kila mwezi? Fikiri, matumizi nyumbani: chakula, umeme, gesi, maji, soda/juisi za wageni.
Ada za watoto zinazolingana na za chuo kikuu. Matibabu hospitalini, pesa ya walinzi kwa mwezi, sherehe za kuaga na kukaribisha mwaka mpya...
Kuiba ni kosa kubwa sana kama ilivyo kwenye vitabu vya dini cha kusikitisha ndege imetua porini bila hata ya Serikali ya Wilaya/ Mkoa ama Serikali Kuu kuwa na taarifa na hakukuwa hata na TRA ama afisa biashara wa Wilaya kutathmini ni kiasi gani kinachoondoka na thamani yake, Rada iliyonunuliwa...
I dont think so for what you conclude to Madame Speaker, Mungu amemuumba binadamu na karama nyingi tu, apart from Eimu inayomsaidia mtu kuweza kuwa na kifra zaidi ila kuna Hekima na Busara havina shule, Madame speaker ana mtazam o wa kueleweka, ana fikra, ana busara na anapenda changamoto, sasa...
Mbunge ni mwakilishi wa jimbo kwa niaba ya wananchi kwa mujibu wa Katiba ya sasa ya TZ, Mimi napinga uchukuaji wa hiyo posho kwakuwa wan mishahara na allowances walizojipangia kwa kanuni zao bila kufuata mwongozo na kanuni za serikali. Tumeambiwa wamekopeshwa Sh 90m kila Mb toka Serikalini na...
Sawa ripoti ya Mkaguzi inasema hivyo ila alichambua kiini cha tatizo? Wenyewe MSD wanasema hizo zilizoharibika ni zile zilizotolewa msaada na wafadhili zikaja changanywa na stock za kwao walizokwisha nunua unategemea nini? Ilitakiwa serikali kuwasiliana na MSD kuitaarifu jamani kuna msaada na...
tusilalamikie MSD kwakuwa na wao wana mipango yao ya kazi ya mwaka mzima, sasa wameandaa budget wamenunua dawa kutokana na mahitaji na wakati huo huo Serikali imepokea msaada wa dawa toka kwa wafadhili na labda zinazokaribia kutumika (mambo ya misaada!) Wanasema peleka Bohari Kuu zikatunzwe...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.