Search results

  1. Daudon

    Nimepokea taarifa za kuhuzunisha kuhusu bondia Floyd Mayweather

    Duh! Kwa hiyo rigging ni maigizo? Unapotokea uchaguzi kisha ukasikia 'election was rigged' ina maana walifanya maigizo? Jipange tena
  2. Daudon

    Ushauri: Idris Sultan biashara itakutoa achana na uchekeshaji

    Idriss ni mwigizaji mzuri sana kwenye filamu. Aangalie huko
  3. Daudon

    Masha, Mkumbo, Mwigamba, Albert Msando na Katambi Mwenyekiti BAVICHA, wajiunga CCM

    Wengine ni pandikizi ndani ya ccm. Muda utaongea
  4. Daudon

    FOREX: Hivi hakuna shuhuda za upande wa pili? Kula hasara

    Kuna hasara nyingi sana kwenye forex. Forex si ya mchezo. Kuna maonyo mengi sana kwenye forex kama maonyo ya pombe na sigara. Wengi pia wanaathirika kisaiKolojia kwa kupoteza hela nyingi. La msingi ni kufuata maelekezo yanayotolewa kabla na wakati wa kushiriki forex, kitu ambacho wengi...
  5. Daudon

    Q-NET Company "biashara mtandao" ni utapeli unaoenea kwa kasi Tanzania. Serikali mko wapi?

    Duh! Hizo hela si wangenipa nikawekeza forex nikwa nawapa faida yao mwisho wa mwezi?
  6. Daudon

    Mrejesho: Forex ya Ontario

    Kuna watu wagumu sana kuamini. Sasa tunaomba mtuache tuchume kimya kimya mana tukiongea wanasema tunapigia debe DECI. Sitautangazia umma tena bali nitakuwa nikichagua watu wa kuwaeleza fursa hii
  7. Daudon

    Forex training regional tour - mkoa mmoja baada ya mwingine

    Ingekuwa ni jambo baya wala max asingeruhusu jukwaa hili litumike kwa kutangazia forex. Ni kwa nia njema tu sema itafika muda tutanyamaza
  8. Daudon

    Forex training regional tour - mkoa mmoja baada ya mwingine

    Mwanza mbona walikuja wakafanya training ya wiki moja na wameshamaliza? Sasa wako Arusha. Maybe watarudi tena huko. Mi ni mhitimu wa TMT na si sehemu ya waanzilishi wa TMT
  9. Daudon

    Forex training regional tour - mkoa mmoja baada ya mwingine

    Unajua nini? Watu walikuwa wakila kimya kimya kwa miaka mingi mkuu. Walikula sana! Na kiukweli hawakutaka watu wapate hizi taarifa hapa bongo kwa kuwa wanaona watu wengi wangefaidika. Binafsi nami sikupenda pia kushirikisha watu kile nilichojifunza na nunachopata ila imenibidi. Ontario ambaye...
  10. Daudon

    Forex training regional tour - mkoa mmoja baada ya mwingine

    Losers wapo ila ni kwa uzembe wao. Hawafuati kanuni za biashara na kuishia kula loss. Ila uzuri ni kuwa huwa wanatambua makosa yao kisha wakaenda tena kufund akaunti zao na kufuata kanuni na taratibu Ila kwa upande wa pili wametokea watu ambao ni matapeli wakitumia jina la TMT vibaya kwa...
  11. Daudon

    Forex training regional tour - mkoa mmoja baada ya mwingine

    Hapana, Thomaso. Forex si utapeli. Ni kwamba tulikuwa kwenye ujinga na tulipopewa taarifa na maarifa tukaondoa ujinga huo. Sasa kwa kina nyie mliopewa taarifa na kuzigomea na kupuuzia maarifa ndio mnaingia kwenye kundi la wapumbavu.
  12. Daudon

    Forex training regional tour - mkoa mmoja baada ya mwingine

    Sitakuwa na mameno mengi sana kwani picha inajionyesha yenyewe hapo. Piga mahesabu. Nilianza na usd300 na leo tayari nimeshawithdraw usd1000. Yaani shilingi milioni 2 na ushee. Kazi kwenu wadau kuchukua hatua. TMT is there for u kukupa elimu hii ya forex. Msiseme hatukuwaambia. Hiyo ni akaunti...
  13. Daudon

    Forex training regional tour - mkoa mmoja baada ya mwingine

    Jamani mimi leo nimewithdraw sh 565,000/- leo tena hela imetumwa kwenye acc ya fnb usd 750. Kesho nadraw na kufanya yangu. Sina nia ya kuongopea mtu. Just imagine 2m. Na akaunti yangu ya forex ina zaidi ya 2m. Trust me, forex pays. Ila sio ya kuvamia kichwa kichwa. Inahitaji kuielewa.
  14. Daudon

    Wizi wizi wizi. Kaa chonjo na matapeli

    Sijaibiwa. Kuna tapeli anatumia mgongo wa TMT kutaka kutapeli. Ujumbe huu uwafikie wengi
  15. Daudon

    Wizi wizi wizi. Kaa chonjo na matapeli

    Nawatahadharisha
  16. Daudon

    Wizi wizi wizi. Kaa chonjo na matapeli

    Huu ujumbe hapa chini ni wa kitapeli na hauna uhusiano wowote na kampuni ya TMT ambayo inajishughulisha na mafunzo ya forex kwa sasa pamoja na kuwawezesha watanzania hasa vijana kujikwamua kutokana na kufanya biashara ya kuuza na kununua sarafu mtandaono Kuna watu wenye nia ovu wanaotaka...
  17. Daudon

    Hii inawezekana kwa wanawake tu

    Angalia unachojibu kwanza
Back
Top Bottom