Search results

  1. U

    TANESCO Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri

    Tanesco kwa kweli mmejua kutuweza watu wa arusha manyire na maeneo ya jirani... leo umeme umekatika for 12 full hours saa name usiku wa kuamkia leo ukarudi saa nane mchana, ukakaa masaa matatu saa kumi na moja jioni ukakatika tena mpaka sasa.. tuliwakosea nini??? Au sisi sio wananchi na...
  2. U

    Ushauri: Mke hataki kunipa tendo

    1. nilimkuta bikra kabla sijamuoa.. lazma nikiri kwamba tulishiriki tendo kabla ya ndoa.. ni vibaya ila inatokea kwa ulimwengu wa sasa. ila alikua bikra wakati naanza kugegedana nae enzi za uboyfrend . 2 hapa naweza kusema tunaendana na hatuna shida mkui. 3. tumejuana zamani saana tangu...
  3. U

    Ushauri: Mke hataki kunipa tendo

    Heshima kwenu wakuu wa jukwaa hili, Ni kama miezi mitatu imepita tangu nimefunga ndoa na mke wangu. Tatizo nililonalo, mke wangu huwa kama vile hataki tufanye, nilitegemea kwa upya wa ndoa hii walau kila baada ya siku mbili nipate kukidhi haja ya mwili kwa tendo lile takatifu lakini inafikia...
  4. U

    Naomba ushauri: Nataka kwenda honeymoon South Africa

    hapana mkuu.. ina maana watu hawaruhusiwi kufanya utalii wa nje??... kama hela umesave zaidi ya miaka mitatu kwanin uogope ?
  5. U

    Naomba ushauri: Nataka kwenda honeymoon South Africa

    Nawasalimu wote humu ndani wakuu, Nimepanga kufunga ndoa takatifu tarehe 25,02,2017 wiki mbili kutoka sasa na mimi na mpenzi wangu tumeona ni vyema twende South Africa kwa ajili ya honey moon, nilikua naomba ushauri kwa waliowahi kufika huko, ni sehemu gani nzuri za kutembelea wapi tutaenjoy...
  6. U

    Ushauri: Nataka kuanzisha Hardware.

    habari za muda wakuu. nilikua nimepita pita huku na kule, nikawa nafikiria kuanzisha hii biashara maeneo ya usa river arusha. naombeni ushauri wakuu, kwa wale wenye experience kuhusu biashara hii... ups and downs zake, positivity na negativety zake... what to do kuwin market na competation...
  7. U

    Natafuta nyumba sinza A au makongo juu nyuma au karibu na ardhi university

    Wakuu habari zenu.. Natafuta nyumba yenye self contained bedroom, sitting room na kitchenete maeneo tajwa hapo juu.. Iwe na maji.umeme na paRking pia. Offer yangu ni 200,000 shs... Msaada tafadhali.. Number yangu ni 0785131616. Shukran wakuu
  8. U

    natafuta a powerful laptop

    i expect mwenye mali zenye sifa hizo hapo juu ndo atakua na bei ya mzigo,,,my budget is private since nimeshataja specs nnazotaka,,, soo i expect iwe kama tender process flani,, kila anaekuja aseme anaweza kussuply mzigo kwa kiasi gani cha fedha, n ill choose the best offer
  9. U

    natafuta a powerful laptop

    wadau salama? kama kichwa cha habari kisemavyo, im looking for a powerful laptop, preferably apple, au sony vaio... hardisk kuanzia 500 gb, ram up to 8gb, processor ya core i7, na graphics nzuri,,,, iwe na lighting kwenye buttons, na prefarably screen size ya 15 inches na kuendelea.full size...
  10. U

    hajawahi kujamiiana, na bado ananibania mpaka sasa

    asante mkuu kwa kunionyesha njia iliyo sahihi,,, seems to me wewe ni mtu mzima, na mwenye experience na maisha ndo mana upo strict na straight,,, asante kwa ushauzri mzuri na naahidi kuufanyia kazi,, b blessed
  11. U

    hajawahi kujamiiana, na bado ananibania mpaka sasa

    very wiselyy spoken mkuu,,, aisee, naona na mimi nifuate njia yako,, hamna haja ya haraka wala papara,,, thanks sana mkuu
  12. U

    hajawahi kujamiiana, na bado ananibania mpaka sasa

    asante ndugu yangu nivea,, asante sana,,, kwa kweli kati ya mojawapo za ushauri zilizonipa matumaini na moyo, ni wakwako,, b blesses
  13. U

    hajawahi kujamiiana, na bado ananibania mpaka sasa

    asante watuu8,,, nimeyasoma, nimeyaelewa, nimeyashika na ntayafanyia kazi yaliyoandikwa na NIVEA,,,
  14. U

    hajawahi kujamiiana, na bado ananibania mpaka sasa

    asante kwa ushauri mzuri dada neggirl,,, naona ushauri from wadada na baadhi ya wakaka unajenga zaidi kuliko wakaka wengine, mtu anakwambia umkabidhi mchumba wako akusaidie kumbikiri,, huo ni ushauri kweli?? Dah,,, nafurahishwa sana na watu kama nyie
  15. U

    hajawahi kujamiiana, na bado ananibania mpaka sasa

    kuhusu kuzibuliwa kwa sasa noo,, nimeshaprove kwa njia zote ulizotaja hapo,, labda kama atabadilika badae, ambapo hapo ndo ilikua wasiwasi wangu mkubwa mkuu,,,
  16. U

    hajawahi kujamiiana, na bado ananibania mpaka sasa

    mpaka sasa sio mbuzi kwenye gunia,, maana i have prooved it,,, labda abadilike huko tunakoenda,, soo ushauri wako nizibue mkuu??..
  17. U

    hajawahi kujamiiana, na bado ananibania mpaka sasa

    hahaha,, asante mkuu.. Ntazingatia ushauri wako boss wangu,, shukrani sana
  18. U

    hajawahi kujamiiana, na bado ananibania mpaka sasa

    ok mkuu,, asante kwa ushauri,,, asante sana mkuu
  19. U

    hajawahi kujamiiana, na bado ananibania mpaka sasa

    dah, sasa mkuu, unanishauri nifanyeje??? Niquit??? Au nifanyeje?
  20. U

    hajawahi kujamiiana, na bado ananibania mpaka sasa

    dah,,, poa mkuu,,, shukrani kwa ushauri
Back
Top Bottom