Search results

  1. nkikiki

    Mbunge ataka Bunge lisimame kujadili Bajeti lijadili Yanga kuifunga Simba

    Bora mpoki aliita mjengoni😁😁
  2. nkikiki

    Mwigulu unaikumbuka hii kauli yako?

    Hasa Watanzania Kwa sasa wakiongozwa na majaliwa
  3. nkikiki

    Freeman Mbowe aweza kuwa ndio Mwanasiasa bora zaidi Barani Afrika kwa sasa?

    Stress za wazi kabisa hizi! Pathetic
  4. nkikiki

    Jaji Mkuu asipoingilia Kati Jaji Tiganga ataiabisha Mahakama ya Tanzania

    Kabla ya hili Luvanda alishatamka kuwa mashtaka yaliyoletwa na Jamhuri ni batili. Cha ajabu akaagiza yarekebishwe
  5. nkikiki

    Watanzania hatuna shukrani Mungu atusamehe kwa huu ujinga tunaofanya

    Umesahau waliopotezwa, kupigwa risasi na watumishi kutopandishwa/kuongezwa mishahara na madaraja.
  6. nkikiki

    Yaliyojiri kesi ya Mbowe leo Novemba 05, 2021: Inspector Mahita Mohamed atoa ushahidi

    Sasa hebu msikie Leo alivyomsifia Maalim Seif!
  7. nkikiki

    Kesi ya Mbowe: Thamani ya ushahidi wa shahidi #4 ni ipi?

    Sasa mbona hawajafunguliwa na kesi ya madawa ya kulevya!?
  8. nkikiki

    Kesi ya Mbowe: Kibatala na Mallya wameiondolea Mahakama uwezo wa kumfunga Mbowe hata ikishinikizwa

    Hakuna kitu kibaya Kama kuwaamini watumishi wa chini yako halafu wao wakakudanganya!! Najisikia vibaya Sana kwa Rais wetu kudanganywa na wasaidizi/washauri wake
  9. nkikiki

    Sabaya, haya maneno aliyasema pale Hai mkoani Kilimanjaro

    Ndiyo umeandika Nini Sasa wewe msukule wa burigi?
  10. nkikiki

    Wapinzani wa nchi hii Uchaguzi huru na haki ni mpaka nyie mshinde? ACT- Wazalendo Konde mmeshinda kwa Tume gani ya Uchaguzi?

    Aache chama kisicholipa Watumishi wa Serikali na kutopandisha madaraja na mishahara kwa miaka sita!?
  11. nkikiki

    Maendeleo hayana Chama, hii hapa ni shule ya msingi Mwanavala iliyoko Mbarali

    Tukiambiwa tumeanza kampeni mapema ndani na nje ya chama tunawaona Ni wapiga kelele.
  12. nkikiki

    Waziri Mkuu Kassim Majaliwa azindua Vituo vya Huduma Pamoja vya Shirika la Posta

    Kuna paragraph nimeona kuwa Rais ametoa fedha kwa waliokuwa wastaafu wa shirika la posta na simu na waziri ameelekeza fedha hizo zitumike kuimarisha shirika. Naomba Kama nipo sahihi nifafanulie maana ya hiyo hela badala ya kupewa walengwa imeenda kuimarisha shirika. He, hao wastaafu...
  13. nkikiki

    Hoja tano kwanini Mbowe anaonekana kubambikiwa kesi

    Ndiyo kinachonisikitisha
  14. nkikiki

    Kodi mbili kwenye muamala mmoja! Tuseme hapana

    Hivi Wana CCM nao wanakatwa haya malipo?
Back
Top Bottom