we we si umesema huna kadi yoyote ya chama... mbn kama unavyutia upande wa CCM..
bila shaka ni kada damuni
Ngoja sisi tuonekane Chadema ila binafs siongelei siasa kwenye jambo la kusherehekea siku ya kuzaliwa. sijui kama kuna nchi yoyote inafanya haya mambo
Wangesema watu wachague wazazi wewe ungekimbilia kwa Magufuli maana unamweheshimu kama vile ndo Mungu wa pili. Umesahau kama unawazazi na kuona rais ni bora kuliko mtu mwingne yoyote.
Hiki ni kipindi cha mpito atapita ataenda asubir na kwenda alipoenda Nyerere ndo hayo mengine yatafata.
Usiwe...
Nimechekaa sanaaaaa, ujinga upo tena ndo umezidi kwa kasi kubwaa mi naona watoto sahivi ndo wamezidi ujinga sana kwa sisi tulio na naisha ya chini.
Umasikini ndo bora ya kikwete tulikua tunakula mara tatu kwa siku ila sahivi mmmhhhh. Maradhi ndo yanazidi kuibuka tena zaidi ata mboga za majan...
Uwezi olewa na mtu usiemfam kwa karne hii. kama we maisha yako ya kimtandao utapata mtandaoni, na si kwel km hutongozwi. unatongozwa ila unatakaa et sitaki wa mitandaoni...,,!!!!!
mahusiano ni njia ya kufikia ndoa ukiona hapa sipo anaacha unatafuta mwingine.sasa utaazeeka
ahahahh
aaaahhhh, alisahau kama watu ni wale walio hum ndo wapo mtaan, maofisin, fb, wasap, na mitandao yote ya kijamii. pia wengine n marafiki zake kabisa wa karbu. ila bint unaonyesha ni selective sana.
mmmhh ni kweli jaman..????? mana mimi nimefanya dodoma ila wanasema bado hawajaita ata mtu mmoja. tena tuliofanya itavyuu ya oral wote tunawaliana na hakuna ata mmoja alieitwa.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.