Search results

  1. 2hery

    Je, bodaboda wapo juu ya sheria za usalama barabarani?

    Kwa uendeshaji huu lazima hatua zichukuliwe kudhibiti hili. Wenye mamlaka wanalichekea kwa kigezo cha wapiga kura ila ni hatari kwa usalama wa taifa na maendeleo ya nchi huko mbeleni
  2. 2hery

    Mkague mgeni wako kabla hajaingia ndani

    Kuna mama mmoja alikua kila akija home kusalimia anapitiliza moja kwa moja chooni. Hii ilikuwa sio tabia ya kawaida. Na akiondoka tu home lazima mtu aumwe au fedha zitume kwa jambo lisilokuwa na mwanzo . Kuna siku moja amelala na watoto wa kike chumbani akaanza kuzunguka kitanda usiku huku yuko...
  3. 2hery

    MNEC Mlao amkaanga Tundu Lissu, asema ni mpotoshaji

    Bei ya maharage itaimbwa kwa siku kadhaa zijazo.
  4. 2hery

    Njombe: Wawili wauawa na mganga wa kienyeji na kutupwa msituni

    Wangesogea kule Makete kwa Mwakipande au kwa Meseketwa kupata utajiri.. Wao wameishia Njombe tu .
  5. 2hery

    Rais Samia akutana na Baraza la Maaskofu (TEC), Kilaini aelezea Historia yake na utaifishaji wa mashule 1970

    Sasa wale wahuni wa ile kamati ya amani muheza wapo chini ya nani?
  6. 2hery

    Rais Samia akutana na Baraza la Maaskofu (TEC), Kilaini aelezea Historia yake na utaifishaji wa mashule 1970

    Unamwombea afanyaje? Maana kuna yale maombi ya urejesho
  7. 2hery

    TANZIA Mwanahabari, Prudence Karugendo afariki Dunia

    Na Leo Padri Privatus Karugendo kafariki
  8. 2hery

    Mechi nyingine za CAF Champions League 2020/21

    Huyu Refa kawanyima hawa vibonde Wydad goli la wazi aisee
  9. 2hery

    Mechi nyingine za CAF Champions League 2020/21

    Mna uhakika hawa ni Wydad? Hawa wakikutana na Simba anapiga 3
  10. 2hery

    Msemaji wa Azam anashangaza sana! Anahisi ushindi wa Azam kuna mkono wa Simba!

    Wangecheza Ramadhan Cuo kama wanataka wasilazimishwe.. Mpira ni mchezo wa wazi, Haiwezekani uwekezaji wote ule halafu timu iwe inafanya inavyojisikia.
  11. 2hery

    ARUSHA: Polisi hawara aua mume wa ndoa kwa risasi

    Tulisha sema humu ukiona mke anachepuka na ukang'ang'aniakuwa nae.. Utaishia jela au mmoja wapo atapoteza maisha.
  12. 2hery

    Al Ahly 1-0 Simba | CAFCL | Al Salam Stadium

    Mkude anapoteza mipira kwa kupiga vipasi vya ajabu.. Hakai kwenye eneo lake.
  13. 2hery

    TANZIA Rais wa Tanzania, John Pombe Magufuli afariki Dunia kwa ugonjwa wa Moyo hospitali ya Mzena jijini Dar

    Huko kwenye mbio za mwenge nako kuna maagano yasiyokifani.. Ile kuzisitisha mwaka jana lilikuwa kosa la kiufundi
  14. 2hery

    TANZIA Rais wa Tanzania, John Pombe Magufuli afariki Dunia kwa ugonjwa wa Moyo hospitali ya Mzena jijini Dar

    Kosa la kwanza lilikuwa kuhama ikulu ya Dar na kwenda Dodoma, Kumbuka yaliyomkuta mwendazake kule Lindi kipindi tu ndio kasema kahamia Dodoma Kosa la pili ni kuapishwa Dodoma badala ya DSM.. Kuna mafungamano makuuu ikulu ya DSM na uwanja wa Uhuru na urais kwa kiongozi aliye madarakani.
  15. 2hery

    Kutoka St. Peter's Church Jijini Dar es Salaam

    Roma ikesema imesema. Huwezi kubishana na Askofu aliyejitoa na kuacha ya Dunia ukashinda. Viongozi wa kiroho huwa wana sala ya mwisho tofauti na viongozi wa dini.
  16. 2hery

    TANZIA Katibu Tawala Msaidizi Utawala na Rasilimali Mkoa wa Mara, Jeswald Majuva afariki dunia

    Mshana Jr kuna wakati alielezea kuhusu picha na uhusiano wa kiroho.. Hiyo picha ya watu wanne dah
  17. 2hery

    Yamenikuta China naiona jela inaniita, nisaidieni mwenzenu ninusurike

    Unachotakiwa kukifanya ni kureport na kuweka kusudio la kuvunja ndoa. . Maana mchina alikuoa kutokana na taama za pesa..
  18. 2hery

    Waziri wa Kilimo asema Kenya imekiuka makubaliano ya EAC kuzuia mahindi ya Tanzania

    Sumu ipo lakini sio kwa kiwango cha juu..Huyu Waziri tangu nilivyomwona anapiga nzige mitama ndio niliamini hamna kitu..
  19. 2hery

    DC Ole Sabaya: Siku CCM Arusha wakinishangilia nitajua nimeshaanguka kisiasa, nina hukumu ofisini ya kulifunga shamba la Mbowe

    Huyu Mbowe ndio kaweka na mahindi sumu... Tunakula sumu tutashindwa kuoa nchi jirani
Back
Top Bottom