Search results

  1. G

    Miaka 50 ya uhuru na matumizi Kinyesi cha ng'ombe kutibu kidonda.......!

    Huko ndiko ccm huiba kura nyingi sana ili kufidia za mijini. Wanajf wapenda maendeleo, tokeni humu ndani, mwenda vijijini mkahamasishe watu wabadilike na kuingamiza ccm. Wanavijiji wapo tayari kwa kusafiri kinachokosekana ni meli ya kuwabeba, tuwe meli zao.
  2. G

    Kukamatwa kwa Mbowe, jaji mkuu Chande anahusika?

    hatuwezi kufurahia wakat tunanyanyaswa. Kama umelenga misaada ni bora tuikose lakn haki iwepo.
  3. G

    Kukamatwa kwa Mbowe, jaji mkuu Chande anahusika?

    Siku tutakapotaka ukombozi, tutaupata.
  4. G

    Rais Kikwete na ziara ya kwanza Jijini Mwanza baada ya uchaguzi

    Sasa nimepata picha. Zitto kabwe ni mshiriki mkubwa wa kikwete. Ni zitto aliyewakilisha mchango wa tsh 10mil kutoka kwa jk, ktk hafla ya kuchangia mfuko wa elimu, wenje akiwa muandaaji, kumbe mil 10 ilikuwa ni kisafisha njia? Jk, kwa nn amtume zitto wakat kandoro mwakilishi wake yupo? Naanza...
  5. G

    Naombeni Msaada wenu kuhusu bei ya Unit ya Maji

    uko humu jf kimakosa. Ninajua mwanakijiji anaishi marekani, nmeomba msaada wake kwa thamini mchango wake mkubwa ktk tz, japo yupo usa, mwanakijiji amekuwa mstar wa mbele ktk mambo ya hapa nchini. After all skukuuliza wewe, wewe ni nani hata udirik kumjibia? Acha upuuz bwana. Kama upend kamba...
  6. G

    Naombeni Msaada wenu kuhusu bei ya Unit ya Maji

    Kaka yangu mwanakijiji na wanajf wengine, naombeni mnisaidie kupata bei ya maji safi kwa unit moja zinazotozwa na mamlaka za maji za mikoa yote ya tz. Najua ni kazi ngumu kaka lakn nisaidie. Nazihitaji data hizo ili niweze kulinganisha na mkoa wetu wa shy. SHUWASA wamepandisha bei kwa takrban...
Back
Top Bottom