Yaani mwanasheria msomi anataka spika ndiyo amuandikie mtoro kuhusu utoro wa mtoro mwenyewe?
Kwamba mtoro mwenyewe hata hajielewi siyo?
Hivi mnauchukuliaje ubunge nyie watu? Yaani wananchi wanakosa uwakilishi kwa kujisikia na sababu za kizembe tu...
Huwa mnasema serikali haifuati katiba na kuwa raisi ni dikteta, angalau tupate mifano hai miwili mitatu kuwa katiba ya JMT inafuatwa na inafuatwa kwa vitendo...
Halafu hiyo barua (Kama hakuna ulaghai) ni taarifa ya kikao cha tatu! Alikuwa wapi na kwa nini hakutafuta kibali cha spika kwa kikao cha kwanza na cha pili?
Halafu barua ameiandika tarehe 29 Januari siku ambayo kikao kinaanza, kwa nini hakuandika kabla? Why taking this much of unnecessary risk...
Juzi alisema alikuwa anatafuta wafadhili nje, leo tena alikuwa anamuuguza mjamzito. Akikosa mishahara miwili mitatu ataweza sema alikuwa amekufa huyu...
Haya tumeni sasa, interview next week na cheti cha form four kipo mbali kidogo.
Kuna mtu kakushauri uuze tiGO, niongeze neno, halafu unuse! Mwendawazimu weee
Huyo aliyewekwa unyumba ulaya? Anayeomba kulipiwa pango na wanaume ili asife kwa baridi? Anayeomba wanaume wamnunulie chakula na kulipa karo za watoto wake? Aaah maskhara...
Hakuna choko atakaa aiongoze hii nchi, mkimpenda sana mummpe uenyekiti wa chama chenu cha mashoga period
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.