Magwiji wa soka wa muda wote..moja kati ya timu chache ambazo haziwadissapoint mashabiki wake..yani mashabiki wa Real Madrid hawajuti kuichagua hii timu..sio kama kina sisi wa.....................................
Kwa kawaida kuna account mbalimbali za commissioner ili kufacilitate ulipaji. Sio kila mtu anaweza kuaccess account flan. Cha msingi Ni malipo yote huwa yanakuwa reflected kwenye system..zamani ilikua watches na sasa kuna system mpya inaitwa tancis.kwa hiyo hujaibiwa.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.