Search results

  1. M

    Ni marufuku kufungua mtandao wa JF ukiwa katika ofisi za Serikali

    Great Thinkers wanataka watu wasifanye kazi badala yake wawe wanasoma JF, halafu wanataka maendeleo. Great Thinkers mnachekesha, mnataka JUA au MVUA ?
  2. M

    Ni marufuku kufungua mtandao wa JF ukiwa katika ofisi za Serikali

    Great Thinkers wanataka watu wasifanye kazi badala yake wawe wanasoma JF, halafu wanataka maendeleo. Great Thinkers mnachekesha, manataka JUA au MVUA ?
  3. M

    Kikwete anamshinda Membe kwa safari za nje ya nchi

    Fareed inaelekea huna kazi ya kufanya ndio maana kila siku unakesha kuhesabu safari za Rais, wewe ulitaka asifanye kazi zake za uraisi ? Kwa kweli unaboa
  4. M

    Kikwete anamshinda Membe kwa safari za nje ya nchi

    Fareed inaelekea huna kazi ya kufanya ndio maana kila siku unakesha kuhesabu safari za Rais, wewe ulitaka asifanye kazi zake za urausi. Kwa kweli unaboa
  5. M

    Miezi sita ya Godbless Lema Bungeni

    Kwani Lema ni mbunge au Mfanyafujo ? Mlokole anayehamasisha Vurugu, "HERI WAPATANISHI MAANA HAO WATAITWA WANA WA MUNGU" Lema mrudie Mungu wako acha kufanya kazi za shetani
  6. M

    Najuta kuwa kuongozwa na kiongozi kama kikwete

    Badala ya kujuta ungetafuta nchi nyingine uhamie
  7. M

    Ras jah wa ppf atuombe radhi wanahabari

    Nachukua fursa hii kwa niaba ya wanahabari wote kumtaka Ras Jah atuombe radhi kutokana na matusi mazito aliyotufurumushia kuwa tumenunuliwa na PPF ili tusiandike madudu yatakayofanyika huko. Kwa kweli sikutarajia Ras Jah atoe matusi hayo kwa kuwa kwa muda mrefu amekuwa akituletea kazi mbambali...
  8. M

    Ras Jah tuombe radhi wanahabari

    Nachukua fursa hii kwa niaba ya wanahabari wote kumtaka Ras Jah atuombe radhi kutokana na matusi mazito aliyotufurumushia kuwa tumenunuliwa na PPF ili tusiandike madudu yatakayofanyika huko. Kwa kweli sikutarajia Ras Jah atoe matusi hayo kwa kuwa kwa muda mrefu amekuwa akituletea kazi...
Back
Top Bottom