Search results

  1. Lilikim

    MAJANGA: Tanzania kuilipa kampuni ya KONOIKE zaidi ya Sh. Bilioni 133 baada ya kushindwa kesi mahakamani!

    Mimi mgeni humu ndani , ndio nimeingia Tz sasa hivi sina hata sekunde.
  2. Lilikim

    MOMBO: Trafiki mpiga kamera ang'atwa na nyoka sehemu zake za siri machakani

    Hahaaa! Comments zimenichekesha hadi basi, habari ya nyoka na traffic police asiyejulikana.
  3. Lilikim

    Kanuni za Maudhui Mtandaoni: Bloga lazima asajiliwe na achuje taarifa pia awe tayari kuwataja wanaompa taarifa akitakiwa

    Tz simama nishuke, nahisi nimefika. Nahisi km nipo kwa babu ta ta taa! Next month baa zote kufunguliwa weekend tuu saa kumi na mbili jioni kufungwa saa tatu usiku. Saa tatu usiku kila mtu awe kitandani kwake.
  4. Lilikim

    Kwa anayefahamu kuhusu kilimo cha Mkonge

    Mimi pia nina nia ila pakuanzia, breakdown zipoje? Mwenye ABC atusaidie, naogopa kuanza nikaishia kulima mtaji ukaisha. Mimi nina shamba Tanga
  5. Lilikim

    Ajira 100 TANROADS Rukwa

    Hapo kwenye age limit,Ni not au NOTE?
  6. Lilikim

    TAHADHARI: Matangazo ya kazi "Santos Petroleum Corporation"

    Tangazo lenyewe hili hapa, Oil and Gas Workers Job in Zanzibar, Tanzania
  7. Lilikim

    Rais Magufuli: Utumbuaji majipu usitafsiriwe kama ukatili

    Acha jamaa afanye tuu! Wabunge walishazoea kujibu maswali kisiasa, ukiiangalia hiyo video ya huyo mheshimiwa inatia hasira. Inawezekana kipindi mzee wa kaya akiwa Waziri nae alikua anapewa order"sign hapa, wape hawa kazi etc etc" so sasa ananyoosha pale alipopaona pans shida cos saivi...
  8. Lilikim

    Gharama za Kuweka Gypsum na Tiles, Nyumba ya 14x11 Mtrs - Dar

    Duh! Mmeniingiza baridi kichwani. ILA Mungu mwema, tiles zitawekwa kwa imani
  9. Lilikim

    TANZIA: Mmiliki wa mabasi ya Ngorika, Stephen Mberesero afariki dunia

    Apumzike Salama alipojichagulia kipindi cha uhai wake. Poleni wafiwa,Mungu awe Faraja kwenu
  10. Lilikim

    Nijuze tofauti ya serikali ya mseto na umoja wa kitaifa

    Naomba kuelimishwa maana ya serikali ya mseto,ina maana gani? Nini kinacho sababisha itokee,wahusika na katiba inasemaje?
  11. Lilikim

    Mtoto alawitiwa ndani ya ofisi za CCM

    Au ndio matambiko yao?
  12. Lilikim

    UPDATES: Mgomo wa Madereva - Maeneo mengi nchini usafiri ni shida! Mei 04, 2015

    Vp daladala za dar leo mgomo unaendelea?
  13. Lilikim

    UPDATES: Mgomo wa Madereva - Maeneo mengi nchini usafiri ni shida! Mei 04, 2015

    Sio wote mwenye uwezo wa kununua gari, na dollar ilivyoiacha shilingi? Majanga.
  14. Lilikim

    UPDATES: Mgomo wa Madereva - Maeneo mengi nchini usafiri ni shida! Mei 04, 2015

    Nipo njiani kutokea singida to dar, hii njia sijaona dalili za mgomo,labda tukifika au tukikaribia morogoro /dar
  15. Lilikim

    UPDATES: Mgomo wa Madereva - Maeneo mengi nchini usafiri ni shida! Mei 04, 2015

    Ila mimi nipo kwenye basi natokea singida to dar,bado sijaona dalili za mgomo wa magari,may be tukifika dodoma
  16. Lilikim

    Mlevi

    Ivi ni maneno gani ya kiingreza mtu akishalewa kuyatamka ni issue?
  17. Lilikim

    TBC mna bifu gani na CHADEMA?

    Toka juzi naona TBC wakati wa taarifa ya habari ikirusha kampeni za mgombea wa Arumeru mashariki kwa kupitia tiketi ya CCM ,naomba kueleweshwa hapo coz i am puzzed jamani.
  18. Lilikim

    Maandamano makubwa Songea!

    Mauaji yamehamia Songea baada ya Arusha,then who is next?
Back
Top Bottom