Hoja hujibiwa kwa hoja mzee! Ukiwa mvivu wa kufikiri ovius utakuwa vile vile ni mvivu wa kutoa hoja zenye kumjenga mtu au taifa! Nilitegemea utoe hoja zn niikubali au niikatae bt cjaona logic ya ww kucomment vitu visivyo na mcngi! Lengo letu ni kujengana na sio kutukanana au kupeana kejeli...
@Galura nadhani HASIRA NI DALILI YA UVIVU WA KUFIKIRI N ACTUALLY UR NOT A GREAT THINKER N SORRY 4 DIS! HOJA HUJIBIWA KWA HOJA NA SIO KWA PUMBA ULIZOZIPOST! Huo ni mtazamo na nafikiri ma great thinker wametoa pia hoja zao nimeziona! HUO NI USHAURI TU UCWE MVIVU WA KUZITUMIKISHA FIKRA ZAKO N...
SIASA ZISIZOKUWA NA MANUFAA KWA MWANANCHI- Tunashuhudia kila cku wananchi wakipandikizwa chuki dhidi ya serikali yao wenyewe walioiweka madarakani kwa kura zao wenyewe HAKIKA HIZI SI SIASA ZENYE MANUFAA KWA MWANANCHI HOHE HAHE!
Nilichomaanisha ni kwamba UTAJIRI WA WASOMI wanaokimbilia ktk SIASA UNATAKIWA kuwa na manufaa kwa wananchi na Taifa badala ya kukimbilia siasa km njia ya kujikwamua kimaisha! Pili FIKRA MFU ni fikra zisizoleta athari ya mabadiliko ktk jamii! Mwisho ni lazima ifikie MAHALI TURUDISHE UZALENDO NA...
TANZANIA imebarikiwa kuwa na UTAJIRI WA WASOMI WENGI ambao huzalishwa kila kukicha, WASOMI HAWA WA KARNE YA SAYANSI NA TEKNOLOJIA wamegeuza SIASA KM MTAJI na kusahau jukumu lao la msingi ktk TAIFA kwa kukubali kuwa WASHABIKI WA SIASA ZISIZOKUWA NA MASLAHI KWA MWANANCHI HOHE HAHE! WASOMI ambao...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.