Dada kwa ratiba ya Sisi wapenda Raha junapili ndo siku inaboa dar sasa ratiba poa ni jmos unalewa Sana Kisha unashinda unalala jpil asubuhi unakula supu rombo view na chapati unashishia maji makubwa na bia mbili unarudi kulala.ukiamka saa 7 unaelekea mcity pale unakula ma junk food yako .basi...
Kaka umenena kinachotakiwa ni kuwa mjasiliamali .yaan kama ww umeajiriwa kama banker .invest kwenye kuwa Bora mfano
1.soma degree na masters yake
2.soma vyeti vya weredi proffessional certified banker
3.soma course za it zihusianazo na banking ikiwemo Ai
4.jiunge board na forum za bankers...
Sasa kuoa labda jiolee kanesi Hilo.ila Mambo ya kuoa pisi Kali dar kuna wahuni wanahela jaman .siku moja nilienda na demu ni mshikaji wangu Tu na Malaya wa kitambaa ila ni pisi balaa.mtaani sinza hata elfu 20 kimoja unakula .mm ushkaj ndo ananipaga Hadi bure ila ndo .
Nlipiga zangu bia the hood...
Mzee baada ya kushindwana na wife sababu mama alitaka Mtia Sumu.walikubaliana kila MTU awe na mahusiano yake Mali zibaki za watoto.mengi alimpeleka madam white kwa mke wa mkuu akaridhia awe mke mdogo .sasa kuna magodown Patel alikuwa ashahonga Sana anayachukua me akamzunguka juu kwa juu akabeba...
Hata James delicious hajawahi sema yeye shoga.tumethibitisha uchawa wa maandishi yako kukumuona mama Samia pimbi kwamba akisifiwa anateua na jinsi ulivogeuza kibao from team magu to team mama samia
Very simple and clear.umetimiza wajibu wako saizi unaoga ili uwahi folen ukielekea kazini. Tatizo naloliona huyu Jamaa ninsoft mwanamke wa kukuzalia nje na kusinzia kabisa kitandani kwangu nadhan ataku pengine wawili tu duniani na wote wavenezuela labda sio Tanzania hapa
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.