Search results

  1. ZigiZaga

    Makato ya HESLB: Rais Samia tunaomba mrudishe makato ya 8%, pia yazingatie sheria ya kubaki na 1/3 ya basic salary

    Mwezi Jana nimefyekwa zaidi ya kaki²2 ,mpaka Sasa naishi Kwa shida sana
  2. ZigiZaga

    UPDATE: Leah Ulaya arejeshewa Urais wa CWT

    Cwt nyo.ko sana! Mlioko huko wote kenge sana
  3. ZigiZaga

    Mwanza: Mmiliki wa mabasi ya J4 aliyehukumiwa kunyongwa hadi kufa aachiwa huru

    Majaji was bongo hovyo sana! Magufuri fufuka
  4. ZigiZaga

    Wanaume wazuri (handsome) wahuni sana hawajatulia

    Hakuna mwanaume mzuri wewe! Hao ni mashoga, mwanaume sura ngumu, Nuka jasho,siku tatu hujaoga, sauti Nene, ubabe mwigi,!siyo hao unaowasema wewe
  5. ZigiZaga

    UCHAGUZI UVCCM: Kawaida kutoka Zanzibar Mwenyekiti Mpya wa UVCCM Taifa, Rehema Sombi Makamu Mwenyekiti Taifa

    Udini kabisa huu! Hawa wenzetu wakushike madaraka udini unatawala sana!
  6. ZigiZaga

    Unadhani ni nani anafaa kuwa Waziri Mkuu wa Tanzania baada ya Kassim Majaliwa kumaliza muda wake?

    Tangu mwenda zake haondoke huyu jamaa kapwaya kiutendaji sana Tena sana!! Kwa maoni yangu anamuhujumu Samia, hakubaliani nae kabisa. Mama shituka Kuna genge Serikalini linakuhujumu likiongzwa na PM, katibu wake akiwa Angelina Mabula! Mratibu mkuu ni Mkamba jr
  7. ZigiZaga

    Bashe & Nape Watinga Bungeni Dodoma kwa Kishindo

    viti maalum hao, kishindo gan!tmwanaume mzm na mavuz unatinga mbungen kwa kuendelewa!! shem to u nape
  8. ZigiZaga

    Ni kwa namna gani CHADEMA itakuwa moja tena bila pesa za ruzuku?

    CHADEMA ina wanachama wengi sana, kuchangia kila mwezi c tatizo, chama kitaendelea kunawili kama kawaida
  9. ZigiZaga

    Uchaguzi 2020 Yaliyojiri sehemu mbalimbali Tanzania katika zoezi la upigaji kura za Rais - Oktoba 28, 2020

    Uchaguzi huu bado ni mugumu sana, tume yenyewe mpaka sasa hawajiamin, subr kuanzia kesho makombola yatakayovurumishwa, hamtaamin, wengi humu nawasoma tunawaacha,muda unaongea! lissu anajua nini anakifanya, hata kipara mwenyewe huko aliko aamini kbsa nin kitatokea kuanzia kesho! tuombe uzima.
  10. ZigiZaga

    Uchaguzi 2020 Mbeya: Matukio na Matokeo ya Uchaguzi Mkuu 2020 kama yanavyotujia

    Shule ya msingi kituo no5, Mbilinyi kura 203, tulia kura 26, hali ngumu sana.
  11. ZigiZaga

    Uchaguzi 2020 Yaliyojiri sehemu mbalimbali Tanzania katika zoezi la upigaji kura za Rais - Oktoba 28, 2020

    lissu ameshakuwa rais tayar! magufuri anza kufungasha virago tayar!
  12. ZigiZaga

    Magufuli na Lissu kukutana Kigoma kwa mara ya kwanza leo

    huya ameshashidwa, ameona tu afanye fujo
  13. ZigiZaga

    Uchaguzi 2020 Lissu akifika Kigoma amuunge mkono Zitto na ACT-Wazalendo

    hakuna kuunga mtu hapa, ulishasikia zitto aunga mkono mgombea yoyote wa cdm tangu kampeni zianze? lissu alifungua milango kule zenj, akina zto wakaunyuti, kila mtu abebe wake
  14. ZigiZaga

    Lissu acha kushambulia watu, nadi sera zako watu wakuelewe

    Acha unafiki wewe, kusema ukweli ndo kumshambulia mtu!
  15. ZigiZaga

    Uchaguzi 2020 Yanayojiri kwenye kampeni za Mgombea Urais wa CHADEMA, Tundu Lissu Njombe na Mbeya

    Lissu unaweza! nidhan unabp kumbe unamaanisha aise!
Back
Top Bottom