Mkuu nakushauri kuuza fremu moja napesa utakazopata ingiza kwenye duka lililobaki.
Ukifanya hivo duka moja litanawirika na kodi ya duka lapili pamoja na mfanyakazi wake na umeme zitakuondokea.
Du! inaoneka hii si sanda yakawaida inatengenezwa nakutiwa manukato yakila aina tokea Sept. 2009 mpaka leo. Atakaevishwa au kuivaa kwanza nikaburini baadae nipeponi au motoni .... aisee babangu
Ndugu ndele nakushauri rudisha pesa yawatu biashara sio ndoto. If you can not count from one to ten how you can manage to count from thousands to millions?
<br />
<br />
-----------------------------------------------
Mkuu....
I am serious he is my bro and I dont know nothing about him since he went europe ten years ago.
Mkuu Ecoli kama ulivosema: Haya maneno yana falsafa kubwa sana, wanyamwezi nao wanamsemo kama huo igogo lya hakaya likashenyentelegwa ikiwa na maanakaribu sawa na hiyo.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.