Search results

  1. Jatelo

    Nauza Merqury Metal Nyeupe

    Nna Merqury natafuta mnunuzi zipo 12kg nauza 450000 kwa kg1 kwa aliye serious anitafute kwa no 0753 006368.
  2. Jatelo

    Nauza Mercury Metal

    Kwa wale wanaohitaji Mercury Metal Silver wani Pm, 1kg kwa 750000.
  3. Jatelo

    Majina ya bar

    If Not Why Not (igoma - Mwanza) Billionear Club, bia mchezo, maarufu kama kwa Adriani(mitaa ya Delux - Mwanza).
  4. Jatelo

    John Shibuda na mgogoro wa Kauli ya kuisifia CCM; Kauli za wana CHADEMA

    ha ha ha, mmenikumbusha wakati niko olevel apo Songe kabla haijawa girls, iyn kariakoo tulikuwa tunaiita kariashingo ndo ilikuwa base ya watolo wote, ukitoka mjini kama huna parmit unashukia hapo upite chocho ili kukwepa main gate.
  5. Jatelo

    CCM YAZIDI KUPOTEA dhidi ya CHADEMA TANZANIA

    Dah! Unajua sio wote wenye uwezo wa kuandika na kupanga mawazo yao ata kama ni mazuli like u did, big up mkuu, kuna muda uwa natamani vijana wote wa Tanganyika wangekuwa member wa JF Ili nao wapate fursa ya kujua kiundani kabisa jinsi nchi yao ilivyobinafsishwa, inauma kiukweli, Thank you God...
  6. Jatelo

    Unazikumbuka filamu hizi??

    Motor Combart, Sunset beach, ila kiboko ni ile ya sokwe wa kwenye msitu wa Gombe staring akiwa Fifi umo ndani utakutana na wakina Kipara Mc Regan, ucpime kabisa ITV ya enzi izo
  7. Jatelo

    Utacheka-vijana wanasema ni kumega

    Kudumbukisha, kusafisha bunduki
  8. Jatelo

    Maafa makubwa kutokea serikali ikijaribu kufanya haya kwenye mgomo wa madaktari

    we kweli Jike la mbegu, maana mawazo yako kama unaujauzito vile,
  9. Jatelo

    Maendeleo ya afya ya Waziri Mkuu mstaafu, Edward Ngoyai Lowassa

    Hivi mnaomuombea uyu jamaa apone mnadhani Mungu ni mtanzania wakudanganywa na t-shirt na kofia? Let him gate what anachostahili, kaua wa2 wangapi? Kazurumu wangapi? Leo taifa halina hela ye na wenzake wanatibiwa ulaya ni mpiganaji kweli huyu au mwizi tu?
  10. Jatelo

    Walahi mimi sitaki hii

    ha ha ha, Maro alikuwa wapi kwa hapo.
  11. Jatelo

    ICC confirms charges against 4 of the Ocampo 6.

    Uko viroba eti ee?! Umesoma ni jukwaa la nini au umeingia ingia tu?
  12. Jatelo

    Wasanii 5 Wa Tanzania Wenye Pesa

    Hasheem co msanii bana ni mwana michezo, sports na entertainment ni vi2 tofauti kabisa,
  13. Jatelo

    Pata Vitu Vya Kipanya

    Sawa sawa? Kidumu chama cha mapinduzi.
  14. Jatelo

    Siwezi kuishi bila penzi la Diamond!!

    Kama anawashwa mwambie aingie feisi buku amtafute then amwambie ana ny*ge kwa vike kajamaa ndo kazi yake katamkuna tu, taka dudu uyo.
  15. Jatelo

    Customer care zetu hapa Tz ndivyo zilivyo

    Real mkubwa, niko Mwanza nafanya biashara za Nairobi, Kampala, kiukweli wakenya wanajua maana ya kazi yao, wabongo wengi kwenye hii kazi ni wale wa kamlete so anakuwa kazini kwa nguvu ya uchi, unategemea hiyo huduma bora utaipata hapo?!
  16. Jatelo

    Magufuli alikoroga, Maandamano makubwa kumpinga leo

    nyie wa2 wa dar mnapenda sana mteremko ndo mana mkihongwa na ccm vi ubwabwa maharage na kapakti ka nazi za azamu mmadhani maisha yanaishia kwenye sinia, sa mnalia nini na 200? Wakati si tuna mia nane kamanga kwa mia 3 misugwi lakini 2navuka tu, mkiambiwa maandamano ya katiba mpya mnakula chocho...
  17. Jatelo

    Jokate ajibu mapigo - Nina wangu

    I trust everyone but not the davil inside them.
  18. Jatelo

    Nasikia Malalamiko Kanda ya ziwa

    mi mzaliwa wa kanda ya ziwa na ni mkazi wa mwanza, kiukweli ulichoandika hakina uongo yote ni kweli kabisa, inauma sana but ndo mwisho wa ccm uku, chuki waliyonayo wakazi wa kanda ya ziwa juu ya huu utapeli wa ****** na jopo lake umeongezeka mara mbili za ilivyokuwa wakati wa uchaguzi wa mwaka...
  19. Jatelo

    Jinsi ya kudumisha uhusiano wa mbali

    mi nlishafanya yote hayo unayosema ila niliambulia kusalitiwa mpaka sasa cpendi na cdhani kama ntapenda tena, chako ulichoshika kikiwa kwingine cha wengine. Tena hao wa vyuo ndo nyoko kabisa bola anaefanya kazi, nawasilisha
Back
Top Bottom