Search results

  1. R

    Kuomba uanachama JF

    We salma mi nakuona tu ujue!
  2. R

    Jaji Warioba: Vita ya Rushwa haiwagusi/inawakwepa viongozi wa Serikali

    Siyo ukishindwa kujibu swali ukijibu tofauti na muuliza swali anavyotaka
  3. R

    Polisi: Hatujasikia chochote alichokisema Dr Mollel kuhusu CHADEMA kupanga kumuua Lissu, hivyo hatuna sababu ya kumuhoji

    Mwongozo uliombwa naibu sipika alikataa Sent using Jamii Forums mobile app
  4. R

    Jinsi gani unaweza kupata talaka ya ndoa iliyo chini ya miaka miwili?

    Naomba kueleweshwa kwani muda unaotakiwa kuweza kupewa taraka unatakiwa uwe umekaa kwenye ndoa miaka mingapi? Sent using Jamii Forums mobile app
  5. R

    Spika Ndugai: Lissu hana kibali cha kuishi nje ya nchi, amtaka arudi mara moja Tanzania

    Anafanya mazoezi kuona kama mifupa imetengemaa. Siyo kwamba ameshapona bado hajaruhusiwa na daktari wake pindi akiruhusiwa kuwa sasa yuko fit atarejea maramoja kama ambavyo amekuwa akisikika anapohojiwa. Huko ulay anakozunguko yuko kwenye mazoezi. Sent using Jamii Forums mobile app
  6. R

    Married Life is Not better than single life. It is actually the total opposite.

    Good said descion is upon to your self Sent using Jamii Forums mobile app
  7. R

    Petro Bwimbo mzalendo aliyemuokoa Nyerere asiuliwe na waasi mwaka 1964

    Good history thanks Sent using Jamii Forums mobile app
  8. R

    Ubelgiji: Tundu Lissu aruhusiwa kutoka Hospitalini

    Hongera sana mungu akupe afya njema akutimizie haja ya moyo wako
  9. R

    Mwizi wa deki G/Mboto atumiwa nyuki

    Huwezi ng'atwa na nyuki ukaendelea kushikiria computa. Hii ni giriba
  10. R

    Wanaume kushindwa kurudia wakati wa tendo la ndoa!!

    Wafanye mazoezi na kupunguza kula vyakula vya mafuta .
  11. R

    Pata simu zifuatazo kwa mikopo kwa masharti nafuu

    Mwz mko sehemu gani?
  12. R

    Pata simu zifuatazo kwa mikopo kwa masharti nafuu

    Mko maeneo gani hapa mwz? Mi nahitaji niko hapahapa mwz.
  13. R

    Nairobi, Kenya: Tundu Lissu aituhumu Serikali ya Tanzania kwa jaribio la kutaka kumuua na Bunge kutomhudumia Matibabu

    Ungekuwa ni wewe umemiminiwa hizo risasi ungesemaje? Ana haki ya kusema hivyo na wewe una haki ya kusema unayoyasema. But the truth will remain as a truth and the time will tell.
  14. R

    Tundu Lissu afika salama Ubelgiji kwa matibabu zaidi

    Ee mungu endelea kukamilisha kazi yako kwa mtumishi wako lissu arudi kulikomboa taifa lako
  15. R

    Tundu Lissu kupelekwa Ubelgiji (makao makuu ya Jumuiya ya Ulaya) ni mkakati, ataongea na wafadhili wetu

    Ee Mungu timiza makusudi yako haraka kupitia huyu mtumishi wako lissu ili tanzania ipone. Hongera raisi wangu lissu 2020 hata nikifa leo kura yangu nimeshakupigia endelea kuitunza wasije kuiiba hawa tume ya uchaguzi
  16. R

    Tundu Lissu simama urudi nyumbani watu wanakusubiri

    Dah! Ujumbe na maelezo ya huyo bwana wa tarime vimenigusa sana vinafikirisha nje ya box hakika lissu pona urudi nyumbani watanzania tunakuhitaji kuliko kura ya uchaguzi wa raisi
  17. R

    Fanya mapinduzi ya kiuchumi kwa mtaji wa laki tatu

    Ukihamishia kwenye vitendo ni somo gumu sana
Back
Top Bottom