Search results

  1. Amiliki

    Matumizi mabaya ya madaraka: Wafanyakazi 11 wa TRL kufikishwa mahakama ya Kisutu leo

    Yule mama Chuwa alipodai kwamba alitonywa kwa SMS toka juu kwamba Waziri mkuu anakwenda kumtembelea, aweke mambo sawa na kupelekea kutaka kumdanganya Waziri mkuu kwa kuwasha pump ambayo haijafanya kazi kwa miaka mitano mizima, kiasi cha kupelekea serikali kuibiwa Mabilioni na wajanja, huku Mama...
  2. Amiliki

    Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

    Ukitoa kosa la.Mignolet lilolowazawadia Arsenal goli la pili, tumecheza vizuri sana leo
  3. Amiliki

    Lowassa azidi kuchanua, aonekana mwenye furaha na afya CHADEMA

    Unadhani huyu angekuwa kama rais wenu wa mlingotini mwizi wa makontena akishirikiana na wanafamilia?
  4. Amiliki

    Lowassa azidi kuchanua, aonekana mwenye furaha na afya CHADEMA

    Na inawauma kweli! Sijui hii mijitu michawi? Inatokwa mapovu kweli kwelinkuona afya ya Laigwanaan inavyozidi kuchanua. Watakufa na vijiba vya roho.
  5. Amiliki

    Wastara Juma aomba Watanzania tumuombee, Nyumba zake 2 zawekwa x

    Ana nyumba wapi..!!! Kujishauwa tu! Hana nyumba wala nini. Ni mpangaji tu wa nyumba za wenzie huku mjini
  6. Amiliki

    Wastara Juma aomba Watanzania tumuombee, Nyumba zake 2 zawekwa x

    Akafie mbele kule... .Kila siku tunaitaka serikali iwachukulie hatua wavunja sheria....ndio maana tulifurahi ilipoanza na akina Masamaki wa TRA. Leo huyu mwingine naye kavunja sheria ya nchi eti mijitu ile ile iliyofurahia kuhusu Masamaki leo inataka sheria ipindishwe kwa huyu! Kana kwamba akina...
  7. Amiliki

    Wastara Juma aomba Watanzania tumuombee, Nyumba zake 2 zawekwa x

    Hebu karudie kusikiliza kauli ya mkuu wa mkoa.
  8. Amiliki

    Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

    12 Koro Toure 13. Flano
  9. Amiliki

    Kippi Warioba jiheshimu

    Hunifahamu, sikufahamu. Ni kweli nimejiandikisha Mikocheni ambayo ipo Jimbo la Kawe. Kitu kinachonishangaza imekuwaje Tume wakupe namba yangu ya simu na kuanza kunitumia meseji kila siku za kampeni zako za kisiasa? Imekuwaje uitafute na kupata namba yangu ya simu bila ridhaa yangu? Na nyie...
  10. Amiliki

    KKKT: Kikwete usiwaweke viporo Mafisadi

    Maulid ya mwka huu ilikuwa ni ya kumpongeza JK kwa hotuba yake kwa wazee wa Dar. Sijui huyu mumgu hawa maamuma yupo kwenye mikono ya majambazi?
  11. Amiliki

    Star TV kuna jamaa anaongea kwa jazba muda huu

    Ni kweli hata mimi nimeyaona mapungufu yake, badala ya kusema wengi wao wameingia na vyeti vya kufoji yeye ameliwacha hilo.
  12. Amiliki

    Sendeka: Muhongo asipong'olewa napeleka hoja ya kuwang'oa vigogo bungeni!

    Nilimwona Nape ITV jana akiongea kwa upole sana. Sijui amepatwa na nini!! Ile payuka yake sikuiona kabisa jana. Eti anadai anawataka viongozi wawachukulie hatua waliohusika na sakata la escrow! Hili lijamaa ni Li-mbulumundu kweli! Si ndio lenyewe lililompongeza Kikwete kwa kutowachukulia hatua...
  13. Amiliki

    Vurugu Kilimanjaro Serikali za Mitaa,mtendaji apata kipondo

    Zile nyakati za kuwadhulumu Watanzania haki zao kwa kukingiwa kifua na mahakama za majaji wa escrow zimekwisha. Kama hujagutuka bado basi kalaghabao.
  14. Amiliki

    Vurugu Kilimanjaro Serikali za Mitaa,mtendaji apata kipondo

    Maccm hayana aibu aisee!!! Jamaa limekula kipondo cha haja mpaka likamtangaza mshindi wa kweli wa NCCR Mageuzi. Watanzania wameanza kujitambua.
  15. Amiliki

    Pinda akana kuhusishwa na kuingizwa kwa sukari kutoka nje

    Alikuwa anajichanganya tu.
  16. Amiliki

    Huku kutangaza wagombea walioshindwa kunatupeleka wapi?

    Wale wa Moshi kijijini wamenifurahisha sana! Maana wamemtia kibano Mtendaji mpaka amekiri kwamba alipewa shinikizo toka juu amtangaze mgombea wa ccm aliyeshindwa kuwa mshindi! Hatimaye mwenyewe akamtangaza mshindi kutoka NCCR Mageuzi. Nyambafff!!!
  17. Amiliki

    Mwigulu: Naombwa nigombee urais 2015

    Kweli tupo kwenye nchi ya kufikirika.
Back
Top Bottom