Search results

  1. V

    Nehemiah Mchechu Mkurugenzi wa NHC asimamishwa kazi kupisha uchunguzi!

    hawa kina mchechu walipoingia madarakani walinunua Toyota L/Cruiser mpya v8 kwa kila mkurugenzi na hapo hapo wakajikopesha Toyota L/Cruiser Prado Mpya latest model ! Huu ni ubadhirifu mkubwa wa mali ya umma.Walinunua magari mapya amabayo thamani yake ni mabilioni ikabidi waajiriwe na madereva...
  2. V

    Tuache Wivu kwa Nehemia Mchechu

    Mimi nasikitika sana hawa jamaa wa NHC wameingia ubia na wahindi kujenga majengo mengi na makubwa yakiwemo yaloanguka na lile linalovunjwa bila kutangaza tenda.PPRA uko wapi ? hayo majengo ni ya serikali walichotakiwa NHC ni kutangaza mtu anaetaka kuingia ubia wa ujenzi ,basi watoe tender ! wao...
  3. V

    Nafasi 6 za kazi za clearing and forwarding

    KUNA NAFASI 6 ZINAZOHITAJI KUJAZWA KATIKA KAMPUNI YA CLEARING AND FORWARDING. KAZI:KUFANYA DECLARATION NA KUTENGENEZA DOCUMENTS KATIKA TANCIS SYSTEM(2) KU-PROCESS DOCUMENTS SHIPPING LINES NA KWA CONSOLIDATORS(2) KUTOA MIZIGO BANDARINI (2) SIFA;ELIMU YA...
  4. V

    Nafasi 6 za kazi za clearing and forwarding

    KUNA NAFASI 6 ZINAZOHITAJI KUJAZWA KATIKA KAMPUNI YA CLEARING AND FORWARDING. Kazi: Kufanya declaration na kutengeneza documents katika tancis system(2) ku-process documents shipping lines na kwa consolidators(2) kutoa mizigo bandarini (2) Sifa: Elimu ya sekondari...
  5. V

    Nafasi 6 za kazi za clearing and forwarding

    KUNA NAFASI 6 ZINAZOHITAJI KUJAZWA KATIKA KAMPUNI YA CLEARING AND FORWARDING. KAZI:KUFANYA DECLARATION NA KUTENGENEZA DOCUMENTS KATIKA TANCIS SYSTEM(2) KU-PROCESS DOCUMENTS SHIPPING LINES NA KWA CONSOLIDATORS(2) KUTOA MIZIGO BANDARINI (2) SIFA;ELIMU YA SEKONDARI...
  6. V

    Rufaa ya pingamizi aliyowekewa Mbowe jimbo la Hai yatupiliwa mbali

    Huyo Mgombea wa CCM aliemuwekea Mbowe pingamizi anaitwa Menard Swai alishafanya kazi TRA miaka ya 2000.Muulizeni kwa nini hayupo kazini ? vile vile alishakuwa na cheo muungano wa vyama vya ushirika kilimanjaro.Je kuna nini kilichokuwa kinaendelea huko ?
  7. V

    Jerry Muro na Zitto Kabwe, Something familiar

    Zitto ni mbinafsi sana.Wakati wenzake wanahangaika kwenye majimbo ya uchaguzi kupigia kampeni wagombea wa Chadema yeye haakuonaekana kabisa mfano jimbo la mbunge Nasari na kule Shinyanga.Je alikuwa wapi ? akumbuke Chadema imejengwa na wanachadema wote sio yeye tu na alijaribu kutaka kuibomoa...
  8. V

    Wako wapi vijana jasiri kama Hussein Bashe ndani ya CCM? Lowassa sasa fanya hivi...

    Huyo Bashe ujasiri wake apeleke kwao somalia akaikomboe kutoka kwa Al-shabaab,Nani asiejua kuwa amepewa uraia wa kulazimisha. Huyu alifika Nzega akiwa na baba yake ndugu zake na mama yao. Wakafikia nyumba ya msikiti alipokuwa anakaa Mzee Husseini mlinzi wa msikiti.AkAwapa chumba kimoja baba...
  9. V

    Aliyekuwa mbunge wa CHADEMA, Zitto Kabwe ahamia rasmi ACT Tanzania

    Mi nashangaa eti mnampa sifa kuwa kang'atuka ubunge ! kang'atuka wapi wakati amefukuzwa aautomatically baada ya kesi kwisha ! Kwa nini mnampa sifa ? kwa nini spika aliruhusu huyu Zito kaba kuongea bungeni wakati alishafukuzwa ?
  10. V

    CWT: NHC haitufai kwa lolote

    wanacho fanya NHC ni kujitajirisha. Viongozi wote walio katika menejiment ya NHC WAMEKOPESHWA MAGARI MAPYA KABISA NA BADO WANATUMIA MAGARI YA KAMPUNI NA AMBAYO I MAPYA PIA ! VIONGOZI WA JUU KAZI YAO KUZUNGUKA TU SAFARI HAZIISHI NCHINI NA NJE WANATUMIA SANA PESA ZA SERIKALI BILA KUULIZWA ...
  11. V

    VIDEO: Kinana awalipua CHADEMA, ataja Wizi Mkubwa Halmashauri ya Karatu inayoongozwa na CHADEMA

    Jamani eeh , KWANI MKURUGENZI WA KARATU KAAJIRIWA NA NANI ? MWEKA HAZINA ? WAKAGUZI ? MAINJINIA ? WOTE HAWA WAMEAJIRIWA NA SERIKALI YA CCM.NA WAO NDO WANOIDHINISHA MATUMIZI NA MALIPO YA PESA.KWA NINI MNAWASINGIZIA CHADEMA ? WAULIZENI HAO WATU WENU HIZO PESA VZIKO WAPI ? ACHENI KUPAKA MATOPE...
  12. V

    Operesheni safisha wanigeria nchini

    Mkuu hawa jamaa ni wajanja sana wameingia kwa gia ya dini kumbe wanamambo yao ya unga na cyber crimes. Ukikuta Ijumaa watu walivojaa katika kanisa lao ni balaa ! Na hilo kanisa zamani ndo ilikuwa Vatican hotel sasa hivi imebaki magofu na jamaa sijui wamekodi hapo ni kelele mtindo mmoja ...
  13. V

    Mwigulu ni Kikwete wa pili sio Sokoine

    Jamani wadau hebu ketini chini mfikiri kwa kina. Hivi mtu mwenye akili timamu anaeutaka urais wa nchi hii atakwenda kuhojiwa katika kipindi cha mikasi ? Huyu anadhalilisha taasisi ya urais ! na kwa akili ya harakaharaka ni sawa na kusema akili zake ni za kibangibangi kama mwendesha kipindi...
  14. V

    Mishahara Swissport

    Swiisport hawana post ya hivo kwa sababu wao si kazi yao kuuza ticket za abiria wa ndege. hata hivo mshahara wao kwa wastani ni laki tatu na ushee kama alivosema mdau alietangulia. kupata kazi pale lazima Temu uwe nduguye shangazi mjomba binamu ,demu wake au ndugu wa stella kitali yule fupi...
  15. V

    Mishahara Swissport

    Swiisport hawana post ya hivo kwa sababu wao si kazi yao kuuza ticket za abiria wa ndege. hata hivo mshahara wao kwa wastani ni laki tatu na ushee kama alivosema mdau alietangulia. kupata kazi pale lazima Temu uwe nduguye shangazi mjomba binamu ,demu wake au ndugu wa stella kitali yule fupi...
  16. V

    Mnyukano wa Jerry Slaa na Rahma Al Kharoos ubunge wa Ilala CCM 2015

    Kwa faida ya wadau huyu malkia wa nyuki kabla ya Kuhamia Oman alikuwa anaishi Nzega Mjini.Baba yake anaitwa Abdulrahman Kasiga ua maarufu kama mzee Kasiga.Huyu Mzee sasa hivi hakai tena nzega yuko Dar maeneo ya Kawe ndiko anakoishi ! Jina lake ni Rehema Kasiga alipohamia Oman ndo akajiita Rahma...
  17. V

    Fantuzzi icd yazidiwa

    Issa michuzi uko wapi Mzee wa blog kapige picha utupie ! au we mpaka picha za wanasiasa tu ?
  18. V

    Fantuzzi icd yazidiwa

    Wadau, nawaletea hoja nyingine amabapo FANTUZI ICD ,yard inayopokea makontena ya mizigo toka nje au kwa maana nyepesi ni mojawapo ya Bandari Kavu zilizoteuliwa na Kamishna wa Forodha kutunza mizigo inayotoka nje vkable ya kulipiwa kodi na ikishalipiwa wenyewe wanachukua. Yard hii kwa sasa...
  19. V

    Hatimaye utoaji wa leseni mpya za clearing and fowarding watangazwa

    Mllioni mia hamsini ni ya kawaida ?!!!!! Kama unaona ni ya kawaida basi nawe ni fisadi maluun ! Katika usawa huu wa Matanzania wa kawaida millionin mia mna Hamsini ataitoa wapi ? Au nawe ni mfanyakazi wa TRA unapata rushwa kila siku ndo mana unaona hiyo ni pesa ndogo !
  20. V

    Hatimaye utoaji wa leseni mpya za clearing and fowarding watangazwa

    Huwezi kupata guarantee bila kuwa na hizo pesa Benki au uwe na jumba amabalo huwezi kulijenga bila kuwa fisadi ! sasa millioni mia moja tuzitoe wapi ? labda tukasubiri pale TRA wakati wanapeleka Benki tuzichukue na ndo tuzirudishe tena TRA kupitia Benki ! labda tufanye hivo ! au tukavunje Benki...
Back
Top Bottom