Naona unaijua na kuifuatilia sana afya ya Lowasa. Kumbuka uzima wa mtu uko mikononi mwa Mungu muumba. Wale wanaoonekana ni wazima wanaondoka na kuwaacha wale wanaoonekana wagonjwa. Mshukuru Mungu wewe unayejiona ni mzima lakini acha kabisa kumhesabia siku mtu ambaye kwa mtazamo wako ni mgonjwa...
Sio siri kwamba ACT ni tawi la CCM. ACT kama wameandika barua kutaka kujiunga na UKAWA watakuwa wametumwa na CCM kwenda kuivuruga UKAWA tu na si vinginevyo. Hakuna asiyejua kuwa ACT ni kundi la usaliti likitumiwa na CCM.
Ingekuwa vyema waislam nao wahamasishwe ili waikatae katiba pendekezwa ya nyoka wa makengeza na mwenzake six kwa kuwa imeandaliwa kulinda mafisadi zaidi
Mtawafahamu kwa matendo na maneno yao. Nje ni kondoo lakini kwa ndani ni ma-mbwa mwitu. Alichowafanyia Pendo wenzake ni usaliti na usaliti huu unapaswa kukemewa
"Wapigwe tu" kauli ya mheshimiwa waziri mkuu wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania Mizengo Kayanza Pinda. Na jana mheshimiwa mwingine anayeitwa Magufuli amewaambia watu wa jimbo lake kule Bukoba kuwa polisi ni miongoni mwa makundi wakereketwa wa ccm.
Na hili ndilo la maana. Waraka usimamiwe kwa nguvu zote. Huyu mwadhama naona amejichanganya. Yeye aruhusu waraka usomwe parokiani halafu huyo huyo ageuke nyuma na kusema aliyosema!! naona hapa pana shida.
Kwanza amewasaliti maaskofu wenzake hasa wale wa madhehebu mengine ambao kwa pamoja...
Na nani kakudanganya kuwa elimu ya dini haina manufaa kwa jamii?? Laana itakutafuna. Usisahau pia kuna elimu mtu anayozaliwa nayo. Ile elimu dunia unaongezea tu.
Na hata usome mpaka no class ahead kama huna elimu ya kuzaliwa nayo you are empty.
Mzee Mwanakijiji
Kama walivyoorodhesha na kuweka wazi wale waliokomba hela kupitia account za Mkombozi Bank, waweke wazi pia list ya watu waliokomba hela kutoka bank ya Stanbic. Kwa nini hii inafichwa?
Vinginevyo pamoja na familia ya raisi kutajwa katika migao ya escrow hakuna mwenye ubavu wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.