Search results

  1. Sakhalala

    Nape: Watanzania kuanza kukopeshwa Smartphone

    Sio vijijini tu. Hata mijini kuna sehemu kubwa ya watu wanaishi kwa mlo mmoja kwa siku. Ni mapema sana kuongela habari ya smartphone wakati bado nusu ya watu wetu kupata milo mitatu iliyokamili bado. Hawa ndi viongozi wetu wasioijua nchi yetu vilivyo. Sawa na aliyesema kama watu wanaandamana kwa...
  2. Sakhalala

    Mamlaka za uteuzi tafadhali mturudishie Lukuvi Wizara ya Ardhi

    Lu Lukuvi yuko wapi kwanza. Ni ukweli usiopingika kuwa yule ni jumbo. Ardhi aliiweza na baada ya kuondoka madudu yamerudi pale pale. Mama tunaomba mrudishe Lukuvi ardhi.
  3. Sakhalala

    Pole sana mtani, ila iga busara za Uamsho walipoachiwa huru

    Acha kupandikiza roho yako ya uoga kwa watu wengine. Kama wewe ni wale wakila wakashiba basi siku imekamilika bila kujali wengine wana hali gani basi wewe kaa kimya, wacha waliozaliwa kwa ajili ya watu wengine wapambane.
  4. Sakhalala

    Fungu la Kumi: Ni lazima?

    Ivi ni kwa nini suala la fungu la kumi limeongelewa na Malaki tu kwenye bible na sikumbuki kuliona kwenye agano jipya. Najiuliza kwanini tuishi kwa sheria wakati tunapaswa kuongozwa na Roho? Kutoa kwa Roho hakukulazimishi kutoa 10 percent na si kanisani tu bali unaweza kuongozwa kutoa hata...
  5. Sakhalala

    Anguko la CCM lipo jirani?

    Ndugai ahojiwe kwani analeta taharuki kwa wananchi. Kitendo cha Spika wa Bunge kusema kuna hatari nchi ikapigwa mnada kutokana na madeni makubwa ni kuleta taharuki kwa wananchi na hivyo ahojiwe na jeshi la polisi. Spika ni mtu anayejua hadi yaliyofichika ndani ya serikali na hivyo kwa kusema...
  6. Sakhalala

    Kiongozi Mwandamizi wa CHADEMA akutana na Kikwete, Kinana na Mkurugenzi Mkuu wa Idara ya Usalama wa Taifa

    Jamani, ieleweke vizuri kuwa hakuna h Jamani, ieleweke vizuri kuwa hakuna mwanachadema yeyote adiyependa Mwenyekiti kuachiwa. Ila kinachokataliwa na wanachadema ni kumtaka Mh. Rais amsamehe Mwenyekiti kana kwamba Mbowe ni mkosaji tayari au kumtaka Mwenyekiti Mbowe aombe msamaha. Kama ni...
  7. Sakhalala

    Kwa wanaoona mbali, Waziri Ndalichako ni sumu kwenye mfumo wa elimu

    Mfumo wa elimu umeharibiwa tangu zamani labda ungesema akina Ndalichako wangeanza kuuboresha. Walivipuuza vyuo vya kati na kufanya kila Chuo kitoe degree, wakajza nchi na Vyuo vikuu bila kufahamu kuwa ajira nyingi ziko huku kati kwenye viwanda na ajira binafsi ama kujiajiri. Leo hii hata ufaulu...
  8. Sakhalala

    Freeman Mbowe aombwe msamaha

    KaKweli kabisa pamoja familia yake, CDM na Watanzania kwa ujumla. Ili kauli ya Mama iwe na mashiko " Tusahau yaliyopita tuanze ukurasa mpya..." Kauli ya Mh Rais kuwa tusahau yaliyopita ni maombi ya msamaha kwa kupandisha mabega. Unajua umemjeruhi mtu halafu unamuomba msamaha huku umemfunga...
  9. Sakhalala

    Nimeshangazwa na kauli ya Rais kudharau msimamo wa Waziri wa Kilimo juu ya kuzuia uagizaji wa sukari nje

    Mama ameanza kupandisha mabega, kwa lugha yake mwenyewe. Hapo ni miezi tu, baada ya miaka sijui itakuwaje.
  10. Sakhalala

    Combination ya Zitto na January Makamba

    Kariakoo pia iliunguzwa baada ya mama kutumbua uongozi wa soko. Tafakari!
  11. Sakhalala

    Napinga sifa za kinafiki anazopewa Maalim Seif leo na Watu wale wale waliomdhalilisha

    Chadema imakujaje hapa? Hoja ni kuwa ivi ni halali leo wanasiasa wa upande wa CCM kumpamba Maalim Seif leo kwa uonevu ule waliomfanyia? Ninadhani wanampongeza kwa kukubali kupokwa haki yake mara tatu akanyamaza na kusalimu amri. Lakini waelewe kuwa kwa kukubali ujinga Maalim Seif amenawa mikono...
  12. Sakhalala

    Je, Sokoine alikufa kwa ajali ya gari, Au aliuawa kwa kupigwa risasi 18 kifuani?

    Hahaaaa! 🤣🤣 Huyu Nyerere atakuwa alikuwa Raisi wa ajabu na Sokoine mweneyew alikuwa zoba kweli - kwa maneno haya yasemwe hadharani. Mimi nilikuwa na umri wa miaka 27 na niko Chuoni wakati huo na tena Dar na nilikuwa msomaji sana wa magazeti na kusikiliza radio maneneo haya ya Sokoine sikuwahi...
  13. Sakhalala

    Aloyce Nyanda awashangaa Watanzania wanaotumia muda mwingi kumjadili Ole sabaya badala ya shughuli za maendeleo

    Shughuli ya nani ya maendeleo iliyosimama kwa mjadala wa sabaya??? Jibu hilo hapa, ameuliza Bilmar .
  14. Sakhalala

    Kizuwizi cha askari wa Lindi, ni moja ya vizuwizi maharamia na magaidi wanakichukia sana

    Mfano ni juzi tu polisi waliuana kule Kilimanjaro kwa visa vya magendo wakatunga uongo kuwa amekufa kwa ajali - nadhani the story went that way. Lakini walipochunguzana baada ya ndugu wa askari aliyekufa kusimama kidete wakagundua kuwa aliuawa na wenzie. Hii story ya Lindi yapaswa ichunguzwe na...
  15. Sakhalala

    Sabaya, haya maneno aliyasema pale Hai mkoani Kilimanjaro

    Hawa wako wengi sana. Mama will have to be careful.
  16. Sakhalala

    Rais Samia Suluhu atoa Scan za CT kwenye kila mkoa Bara na Visiwani

    We mwache atapigiwa kura na Wazanzibari[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
  17. Sakhalala

    Nehemia Mchechu na Lawrence Mafuru warejea ulingoni, January Makamba awateua Wajumbe wa Bodi ya TANESCO

    Hakuna shida. Sisi wananchi tunataka kuona umeme wa uhakika na wa bei nafuu unapatikana. Mwendo unaosuasua wa usambazaji umeme vijijini urudi kwenye kasi yake ya enzi za mwendazake tena bila upigaji. Miradi mikubwa ya umeme isitetereke, ya Rufiji, Njombe na Makete. Umeme wa gesi utiliwe mkazo...
Back
Top Bottom