Search results

  1. nia

    Is G Barcelona's Gerald Pique a gay?

    Huyu atakuwa bwabwa tu si unaona alivyokaa??
  2. nia

    Osama bin Laden killed!

    A-Qaedah..the base kwa tafsiri ya kiingereza ni msingi wa kundi aliouanzisha aka Prince aka Aamir(wapiganaji wake humuita ivyo)Usamah Bin Laden kw ajili ya kupigana jihad ulimwengu mzima.Ukweli ni kwamba Osama amekuwa mafichoni kwa mda mrefu huku Marekani ikiwa imekata mirija yake ya pesa kwa...
  3. nia

    Kufungwa afungwe Real Madrid kwanini mashabiki wa Man U wachukie?

    tatizo si real madrid kufungwa..tatizo ni amefungwaje?magoli ya messi hayana utata ni safi kabisa.lakini yamepatikana baada ya pepe kutolewa kwa red card.jose mourinho ana historia ya kucheza game 11 na barcelona kati ya hizo 7 amemaliza timu yake ikiwa pungufu.kwa taarifa c mashibiki...
  4. nia

    Ni Zanzibar ipi wanaitaka?

    Kwa hakika ni muhimu sana mwanakijiji ukimjibu huyu jamaa juu ya msimamo wako kuhusu zanzibar.Jambo moja ambalo ni la msingi na nataka kukushauri,nenda zanzibar.Ukifika jitahidi ukutane na mzanzibar yoyote wa daraja la kawaida.halafu muulize kuhusu jinsi anavyoiona zanzibar na ni nini anataka...
Back
Top Bottom