Search results

  1. MercyR

    Mmasai na docta

    hahahahahahahaha safi sana masai:becky:
  2. MercyR

    Naogopa kuomba kazi.

    watu wana GPA za 3.8 hawana kazi hapo utasemaje? hakuna mambo ya kuangalia GPA's kazini
  3. MercyR

    Damu ya Tanzania mikononi mwa CCM (Gazeti la Rai)

    "lakini iwapo ccm wangekuwa na elimu ya uraia ya kutosha, wakielewa kwamba kila chama cha siasa kilichosajiliwa nchini kinayo haki ya kutawala, wasingekuwa na hofu ila wangejipanga kukabiliana na changamoto za chadema bila woga wala mizengwe, na kupitia njia hiyo wangekuwa wameepusha kile...
  4. MercyR

    Ibara ya 30 (d): MwanaHalisi kufungiwa kwa kuvunja katiba ya Tanzania?

    wavuao migamba hawaishi kutapatapa mh ona sasa watakavyovalia njuga mwanahalisi
  5. MercyR

    Clouds Radio na KIPINDI CHA JAHAZI KINAZIDI KUBOMOKA

    clouds ya sasa cyo kama ya mika miwili iliyopita yaani hakuna chochote tena siyo jahazi tu kila kipindi kinapoteza umaana
  6. MercyR

    VODACOM boresheni huduma siyo matangazo!

    kwani maana ya kazi ni kwako ni nn wadau maan kila ninaposikia tangazo la vodacom huwa nashindwa kuelewa kabisa
  7. MercyR

    Andrew Chenge: Kwangu gamba limeishia kiunoni tu

    kwakweli cjui Tanzania inaelekea wapi,ccm mwishiwe itajivua na ngozi kabisa! :A S 39:
Back
Top Bottom