Search results

  1. mpiganiahaki

    Waziri Selemani Jafo amsema Mkurugenzi wa SCOL Building Contractors Limited hadi akaanguka na kuzimia

    Usimchukulie poa, huyu ni jirani yangu! Financially yuko vizuri sana!!! Mwaka 2016 alilipa fine ya 12b kama fine ya kukwepa kodi!
  2. mpiganiahaki

    Naombeni ushauri nipo njia panda

    1) Kwanza Kabisa hilo la ukabila futa kabisa,kwani kama asingekuwa appreciated kwako asingefunga Safari mpk huko kwenu kuja kutoa MAHARI. 2)Kutokana maelezo yako uliondoka mwenyewe bila kufukuzwa kwa TABIA ZAKO ZA KIBURI CHA KWENU huko UBENANI,. 3) Kwa maelezo inaonekana wewe ujafundwa kimaadili...
  3. mpiganiahaki

    Naombeni ushauri nipo njia panda

    Wewe ndio umechanganyikiwa, I thought these stories are not real! But from this reaction, naamini ni kwel! After all umefanya yote uliyotaka, na matokeo yameonekana, je kuna wakumlaumu??
  4. mpiganiahaki

    Naombeni ushauri nipo njia panda

    Hayo mambo ya ukabila yametoka wapi tena? Kutokana na maelezo yako, hukufukuzwa, uliondoka mwenyewe! So, ukabila unatoka wapi hapo??
  5. mpiganiahaki

    Naombeni ushauri nipo njia panda

    Kwa tabia ulizo onyesha hapa, you deserve to be a single mother! Ktk hoja zako hakuna sehemu ulieleza shaka ya kuletewa magonjwa! Naona unaugua ugonjwa wa ujinga
  6. mpiganiahaki

    Naombeni ushauri nipo njia panda

    Heshima ni kwa mume wako otherwise usiolewe kabsa! Single mother.....
  7. mpiganiahaki

    Naombeni ushauri nipo njia panda

    Utabaki kuwa single mother maisha yako yote!!!! Kukosa akili ndio kumekupoteza
  8. mpiganiahaki

    Makonda: Mchaga kusaidia walemavu na yatima ni jambo gumu sana

    Huu ni ukabila wa wazi wazi, kumbe ni kwel hawa watu wana chuki na sisi wachaga
  9. mpiganiahaki

    Shilingi hiyooooo yaporomoka

    Vitambulisho vitauzwa, then kila kitu kitakuwa sawa kabsa Sent using Jamii Forums mobile app
  10. mpiganiahaki

    Zitto Kabwe: Tamko la jana la Serikali ya Tanzania na Barrick Gold lililenga kupoza bei ya Dola, lakini soko limegoma...

    Atume jeshi, haiwezekan dola kupanda kias hiki!! Sent using Jamii Forums mobile app
  11. mpiganiahaki

    Marafiki laki 5 tu wakiamua kumchangia Mh Lissu elfu 2 tu kwa mwezi atakuwa amepata Tsh 1 billion

    Nasubir hiyo account ya lissu! Kila mwezi 50k nachanga... Sent using Jamii Forums mobile app
  12. mpiganiahaki

    Hali ya zao la Korosho sokoni

    Mkuu, mbona naskia bei dira haipo this time, je ni kwel??
  13. mpiganiahaki

    Hali ya zao la Korosho sokoni

    Duh! Mbona hatar hii...
  14. mpiganiahaki

    Rais wetu kama umeamua kutumia Kiswahili basi tumia Kiswahili na sio Kiswanglish

    Hajui kiingereza kabsa!!! Ila hii sio shida, najiuliza kila siku huwa anaona ugumu gani kujifunza lugha hii???
  15. mpiganiahaki

    Baada ya Rais Magufuli kufanikiwa kuua upinzani vyama. Sasa kaibua upinzani Umma

    Rwanda eneo la mraba sq. Km 24,670; Tanzania eneo la mraba sq. Km 945,025! Za kuelekezwa changanya na zako
  16. mpiganiahaki

    Mwaka 2020 tujitahidi kuchagua kiongozi anayejua Lugha ya kingereza vizuri

    Anaona ugumu gani kujifunza hii lugha??
  17. mpiganiahaki

    Mpaka sasa nimepoteza $300 kwenye forex

    Umenena vyema kk, mimi nilianza kwa haraka sana, ila nikaamua kutulia kusoma na kujifunza sana hii, ukwel ni kwamba inaweza kukuchukua hadi miaka 2 kuelewa vzur hii business. Tatizo letu sisi tunataka tuanze leo na uanze kupga hela hapo hapo! Nakuunga mkono sana, usikubali kushindwa zaid control...
  18. mpiganiahaki

    Mali zaidi za Tanzania kukamatwa ughaibuni kufidia madeni, serikali yatuma watu Marekani kujinasua

    Hapo bado kesi ya conoike, wanadai 160bil. Tutaisoma kwel kwel
Back
Top Bottom