Search results

  1. cheze

    Mods msipobadilika mnapeleka JF kwenye kifo cha asili

    Kwanza kumekuwepo na malalamiko mengi mno kuhusu jinsi mnavyo iendesha jf ya sasa. Sisi mamember sio wapuuzi kuwambieni nyie panapokuwepo na mapungufu. Yafanyieni kazi. Mumeunganisha mada yangu ya "Mods nitoeni humu JF. Futa kabisa acc.." na mada ya baba jay'rose isemayo " ukandamizaji wa huru...
  2. cheze

    Social Forums za Africa

    Haipo kwenye policy zao, Cheze ni brand.. Ntawapigia kelele hadi wanitoe. Mi ni mtu huru na nina haki kutoka au kubaki humu. Lasi hivyo nitahack hii JF hadi washangae. Ngoja wanichezee.. Minitoe humu nyie moderators tafadhali.
  3. cheze

    Social Forums za Africa

    Moderators futeni account yangu, nimewatumia pm lakini mpo kipya bila kutekeleza. Nimeangaika namna ya kuifuta bila mafanikio, nimeenda settings, help hakuna maelezo yeyote. Kila nikipandisha mada inashushwa siwezi kuwa mnafiki eti where we dare to speak openly!. Futeni kabisa hii account...
  4. cheze

    Musoma: Miongoni mwa miji mibovu Tanzania

    Hiyo range ni ya chief kiumbe kama sijakosea.
  5. cheze

    Musoma: Miongoni mwa miji mibovu Tanzania

    Mlima mkendo, uwanja wa mkendo, s/m ya mwembeni, kulia hapo kitaji..mwezi ujao nakuja huko.
  6. cheze

    The Return of Tundu Antipas Lissu to his Mother Land

    Naona Lissu kawa mtaji sasa. Sawa mkuu.
  7. cheze

    Musoma: Miongoni mwa miji mibovu Tanzania

    Mkuu kwetu ni Itaro, na Musoma nipo Kamnyonge. Usibishe kila kitu mkuu.
  8. cheze

    Musoma: Miongoni mwa miji mibovu Tanzania

    Mkuu mi ni mwana Musoma, Mara kindaki. Najua tunamapungufu gani. Hatupigi hatua za kimaendeleo ya kiuchumi.
  9. cheze

    Musoma: Miongoni mwa miji mibovu Tanzania

    Mkuu watu wanabisha lakini ukweli utatuweka huru. Yapasa kutatua tatizo sio kufunika kombe. Inauma kuona Musoma inadidimia.
  10. cheze

    Musoma: Miongoni mwa miji mibovu Tanzania

    Lakini isikufanye ukabweteka na kuwa na majungu dhidi ya hao walionacho. Ndivyo ilivyo Musoma. Mbona kuna watu wa musoma wanapesa hawaji kuwekeza musoma? Bishara zinakufa kila kukicha, yule ndugu Mazara sijui yupo wapi na kiwanda cha maziwa na fishpark?
  11. cheze

    Musoma: Miongoni mwa miji mibovu Tanzania

    Sawa mkuu, yapasa tujipange kuboresha musoma kama manispali tusilete visingizio na ubishi. Siye wajita na wakwaya tunaubishi wa asili.
  12. cheze

    Musoma: Miongoni mwa miji mibovu Tanzania

    Mkuu mbona Tarime na shirati kuna mzunguko wa pesa mzuri kuliko musoma?
  13. cheze

    Musoma: Miongoni mwa miji mibovu Tanzania

    Mzunguko wa pesa ni mdogo sana.
  14. cheze

    DAR: Polisi yaua watu 5 wanaodaiwa kuwa ni majambazi

    "Wakatokomea kusikojulikana"
  15. cheze

    Zitto: Tumekabidhi nchi kwa washamba na malimbukeni

    Hii kauli imechelewa kutoka, better late than never.
Back
Top Bottom