Bongo
I support you 100%, that is brilliant idea, Ila nasikitika kam akuna wa kutekeleza hayo mawazo yako mazuri.
Zamani all movements were been driven by students unions. Wanafunzi ndio walikuwa chachu ya kuikosoa serekali kwa mijadala mikali mikali, siku hizi wanafunzi wamekuwa makini...
kwa kweli Tanzania tuna kazi kubwa sana hasa kwenye swala la utawala bora. kila kitu kinachofanyika tz ni politics tuu. mimi sijali analipwa shilingi ngapi, amefanya kazi world bank hata kama ingekuwa IMF au UN, swala ni kwamba kwa nini hakuwepo kwenye wale 4? Eti kuna mtu anatoa argument kuwa...
Karibu sana Dr. Slaa. wewe ni kati ya watu ambao nawazimia sana kwenye kuchangia hoja bungeni. wiki hii nimepata nafasi kubwa sana kuangalia kipindi cha bunge na kila wakati ulipokuwa unasimama kuchangia au kutoa ufafanuzi fulani watu wote akiwepo mwenyekiti au spika au naibu spika wanakuwa...
Wakimtoa Kimaro kwa sasa CCM isitegemee kulipata tena hilo jimbo. Hao wananchi wenyewe wa Vunjo shida zimewajaa hadi mdomoni, eti leo waseme wanamwaibisha shemeji yao, Naomba kuwauliza huyo shemeji yao aliwahi kuwasidia nini kwa miaka 10 akiwa Rais?
Nataka kujua kama wakina Papaa Msofe...
Nakubaliana na wewe Mkuu,
Haikuwahi kuniingia akilini eti askofu ataenda kumpokea fisadi eti ni shujaa. Ipo siku waumini tutaamka na kumwambia atuombe msamaha. Mambo taratibu. Kwa sasa tumeanza kwanza na hawa mafisadi wakubwa then tutakuja kwao. Kwa sasa natafuta Data za Maaskofu wote ambao...
Asante mkuu kwa ufafanuzi. Sasa naamini maneno niliyowahi kuambiwa na mtu mmoja ambaye aliwahi kuwa mbunge na kwa sasa ni mstaafu pia mwingine ambaye aliwahi kugombea ubunge kuwa "aslimia 95 -98 ya wabunge wote wanaamini ushirikina" nikamuuliza kwa nini? akasema sometimes wapambe wao...
Kwani mtu akitangaza kuwa anataka urais kuna shida gani? Ina maana mtu ukiingia kwenye siasa unatakiwa uishie tuu kwenye ubunge? Sioni shida mwache kijana atangaze mapema ili tuweze kumweleza weakness zake mapema ili aweze kujibadilisha. Mbona JK alijulikana tangu mwaka 1995 kuwa kama atakuwa...
Nalipa kodi kubwa kuliko mafisadi wote wa Tanzania. Ndio Nimesema. Kodi ninayolipa tena kihalali bila hata kufuatwa ni kubwa kuliko wanayolipa Mafisadi
Ni kweli Rostam kupitia kampuni yake ya Caspian anamiliki kama 20% ya hisa za Vodacom Tanzania na Planatel Communication inamiliki 15% ya hisa. Hao ndio watanzania pekee wenye hisa Vodacom. Japokuwa hizo 15 za Planatel ni kiina macho (Peter Noni) ndio mmiliki wake kuna wakubwa wengi zaidi...
Amaa kweli saa ya kufa nyani miti yote huteleza.. Hata Mr. Zero leo anamkana bosi wake. Mimi nimeshasema kuwa Sala zetu zitashinda tuu. Hatuna majeshi, polisi, mahakama wala Usalama wa CCM, tunaye Mungu. Tutamuomba Mungu awaumbue mmoja mmoja mchana peupeeeee
Naanza kuamini maneno ya Jmushi kuwa wale tuliuokuwa tunawategemea kuwa wanaweza kutuongoza au vioo kwenye JF wamefika mahali sasa hatuna imani nao tena. There is something fishy going on here. Wana JF wake up
The 8th Sullivan Summit - Arusha | Tanzania
This site may harm your computer.
The 8th Sullivan Summit - Arusha | Tanzania. ... The Sullivan Summit The Leon H. Sullivan Summits bring together the world's political and business leaders, ...
www.thesullivansummit.go.tz/ - Similar pages
The 8th...
I agree with you 100%. He dont know what is he doing. He has all the powers but he can not use it. Ndio maana kila mtu anataka kugombea urais Tanzania kwa maana ukishapata basi kazi imeisha. unakuwa mtalii baada ya miaka 5 unaomba uongezewe miaka 5 than unakuwa fisadi unapumzika
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.