Search results

  1. L

    Rais Mwinyi akilonga kuhusu uchinjaji

    Mimi natoka kijijini. Kwet huku uislamu haupo na wala sijaona msikiti hata mmoja. Waislami walionekana kwa wingiu mwambao wa pwani, Tabora, Bukoba, Kigoma. Ni katika miaka hii ya karibuni baada ya Uislamu kuingia katika maeneo mengi nchini. Je huko nyuma kabla ya kelele hizi za kuchinja...
  2. L

    Nani yu nyuma ya mgogoro wa mpaka Tanzania VS Malawi?

    ubabe wetu huenda ndion unaowasukuma malawi ku re act the way wana react. Msikilize Lowasa alivyoanza.. msikilize Membe anavyo kuwa mkali.. Msikilize Kikwete alivyolizungumzia tatizo hilo mwaka jana.. katika hali kama hii inabidi busarara na hekima zitawale kuliko vitisho.. wenzetumalawi wana...
  3. L

    Yaliontokea jana....jioni!

    jana balaa tupu barabara za dar.. waliokwenda kuwahi ndege ilibidi washuke kwenye gari na au watembee au wapande bodoboda.. who is to blame.. city fathers au ninyi mnaonunua magari mkijua hatuna barabara za kupitisha magari hayo:panda:
Back
Top Bottom