Search results

  1. D

    Pendekezo: SLAA amrithi SUMARI Arumeru!

    Rafiki wewe unadhani ni Ndoto sisi tunajua ni reality kwahiyo keep dreaming and see what happens 2015
  2. D

    Prof. Costa Mahalu aanza utetezi, awataja mzee Mkapa na rais wa sasa Kikwete!

    My friends kinachoniudhi mimi na hii kesi ni kwanba tunajua kwamba kuna Ufisadi ulitendeka tena wa hali ya juu,Lakini cha kushangaza hata kama mtu utasema ni kutafuta maslahi ni kwanini Mabere Marando Anamtetea je itakuwa halali kwa CHADEMA kumtegemea mtu kama huyu kwenye kupiga vita UFISADI-...
  3. D

    MDAHALO: Tundu Lissu vs Job Ndugai kama ilivyoonyeshwa na Star TV

    Unajua hawa CCM wanadhani kuwa unaweza Kulinganisha Trekta na Cartapiller Ndugai anapoteza Muda kukandai mavazi ya wanaharakati hivyo ndivyo Chadema wanajiidentify ni vyema asingesema hilo niconfirm uwezo wako ni mdogo sana na nadhani pia ni kwasababa ya kujichanganya na wana CCM alipokuwa shule...
  4. D

    Warioba aogopa serikali 3 asema ni changamoto.Hoja dhaifu.

    Kama wewe ni Msomi mzuri lazima ujiulize Huu Mungano ni wa nini? kwa faida ya nani? kwa unmuhimu gani? Kwangu mimi hauna faida bora kila mtu achukue chake tuachane kwa amanii kuliko kuja kuumizana badae
  5. D

    Warioba aogopa serikali 3 asema ni changamoto.Hoja dhaifu.

    Warioba ni babu hana jipya wala haeleweke
  6. D

    Mapokezi ya kamanda Lema Arusha

    Mtu Kajiita NOT ENOUGH unadhani anaakili huyo sisi tunasonga mbele kukomboa nchi hatuangalii nyuma kama hawajaamini wasubiri 2011 kama watakuepo nchi itakuwa ya CHADEMA
  7. D

    Viongozi wa CHADEMA nyie ni vioo vya jamii kwa nini hamtaki kufunga ndoa

    My Friends Shida inaonekana kuna watu wakishindwa na Hoja za maendeleo wanahamia kwenye Hoja binafsi mimi nakumbuka Mwinyi aliendelea kuoa wake wapya kila mwaka akiwa Rais nasikia hata wa sasa nae hivyo tusitafute ajali kwenye msiba tuwaache vijana wafanye kazi Mungu akiwajalia wataoa na kuolewa
  8. D

    Waliobahatika Viwanja vya Geza Ulole

    There days are numbered my brother unachotakiwa kufanya ni kutokufa moyo maana maeneo ya Wazi yenye thamani tutayapata tukishawangoa baba zao Madarakani Ila kwa KURA
Back
Top Bottom