Search results

  1. M

    Hii ndio sababu ya uporwaji wa silaha kwenye vituo vya Polisi

    Mimi nadhani kuna kitu, imma kuna makundi ambayo yanakusanya silaha hizo kwa ajili ya kuja kuleta machafuko wakati wa uchaguzi. Lakini nasikitika na kujiuliza jinsi watu hao wanavyopora kirahisi silaha katika vituo vya polisi.
  2. M

    Leo nimebaguliwa na Wahindi

    Inasikitisha na kuhuzunisha kama bado hadi leo kuna vitendo vya kishenzi kama hivyo.
  3. M

    Mgogoro wa Suni na Shia Watishia Amani Pemba

    mimi nadhani hatupaswi kushabikia aina yoyote ile ya uchochezi au mauaji. Hatupaswi kushabikia mauaji ya Iraq baina ya Waislamu wala ya Sudan kusini baina ya Wakristo. Mauaji ni mabaya bila kujali chanzo chake. Muhimu ni kuomba nchi yetu isikumbwe na mauaji.
  4. M

    Mgogoro wa Suni na Shia Watishia Amani Pemba

    Iran imekufa wapi? Iran hakuna kitu kama hicho. ni bora kusema kitu unachokijua sio kuropokwa tu.
  5. M

    TAHADHARI: Ugonjwa wa 'dengue' waingia Dar es Salaam!

    Ugonjwa wa homa ya dengue umezidi kusambaa mkoani Dar es Salaam na sasa umeathiri wilaya zake tatu na kuzua hofu kwa wananchi. Miongoni mwa walioathiriwa na homa hiyo ni mwanamuziki maarufu Rehema Chalamila (Ray C) ambaye amelazwa katika Wodi Namba Tano ya...
  6. M

    Wabunge Somalia wataka Rais Hassan ajiuzulu

    Wabunge wa Somalia wametoa wito wa kujiuzulu Rais Hassan Sheikh Mohamud wa nchi hiyo wakimtuhumu kwamba, ameshindwa kuiongoza nchi hiyo ya Pembe ya Afrika. Taarifa zaidi kutoka Somalia zinasema kuwa, Wabunge 135 kati ya 275 wa Bunge la nchi hiyo wanataka Rais Hassan Sheikh Mohamud aachie...
  7. M

    WHO yajadili hatari ya ugonjwa wa polio ulimwenguni

    Shirika la Afya Duniani (WHO) jana liliitisha kikao cha dharura baada ya kugunduliwa ugonjwa wa polio au maradhi ya kupooza viungo kwa watoto wadogo kwenye nchi kadhaa zikiwemo Iraq, Afghanistan na Equartorial Guinea. Shirika la WHO limetangaza kuwa kuna ulazima wa kutangazwa hali ya hatari...
  8. M

    Uganda yaonya kuhusu mashambulio ya kigaidi

    Polisi ya Uganda imetahadharisha juu ya uwezekano wa kutokea mashambulio ya kigaidi katika nchi hiyo. Tahadhari ya polisi ya Uganda inatolewa siku chache tu baada ya jirani yake Kenya kushuhudia mashambulio ya kigaidi siku za Jumamosi na Jumapili katika miji ya Mombasa na Nairobi. Fred...
  9. M

    Tuige hii desturi ya wachaga

    Nadhani tunapaswa kuiga kila zuri na kuacha kila baya bila kujali ni la nani.
  10. M

    Tuige hii desturi ya wachaga

    Katika kila kabila kuna watu wa aina kwa aina. Nakusudia wezi, wasomi na kadhalika. Licha ya kuwa kuna watu wanaowatuhumu wachaga kwamba, ni matapeli na walaghai, lakini si uadilifu kuacha kutaja pia sifa zao nzuri kama za akili ya kutafuta maisha, bidii ya biashara na mengineyo mazuri. maneno...
  11. M

    Muingereza awafananisha Watz na nguruwe

    aaaaah mbaya sana nguruwe?
  12. M

    Tundu Lissu ahojiwa na Radio Tehran na kuzungumzia sakata la kukamatwa Godbless Lemma

    Uhakika wa mambo ni kuwa, CCM haikuridhia kwa dhati mfumo wa vyama vingi na ndio maana tunashuhudia ukandamizaji wa kila leo dhidi ya wapinzani. CCM imendelea kuhodhi vyombo vyote vya dola hata mali za umma na majengo kama ya CCM ambayo kimsingi yalijengwa kwa nguvu za wananchi. Walipaswa...
  13. M

    Tundu Lissu ahojiwa na Radio Tehran na kuzungumzia sakata la kukamatwa Godbless Lemma

    Sawa mkubwa! lakini kichwa cha habari chenye udadi humvuta msomaji atake kujua kilichosemwa hasa na hivyo kumsukuma mtu kufuatilia makala au mada husika kwa undani. Hata hivyo kwa ajili yako na wenye fikra kama zako nitakupa dondoo za yaliyogusiwa na Mh. Lissu katika mahojiano hayo. 1. Ameeleza...
  14. M

    Tundu Lissu ahojiwa na Radio Tehran na kuzungumzia sakata la kukamatwa Godbless Lemma

    Tundu Lissu, Mbunge wa Singida Mashariki (CHADEMA) na Mnadhimu Mkuu wa Kambi ya Upinzani Bungeni amehojiwa na mtangazaji wa Radio Tehran, Salum Bendera na kuzungumzia sakata la kukamatwa Mbunge wa Arusha Mjini Godbless Lema na jinsi polisi inavyotumiwa na Chama cha Mapinduzi CCM. Tundu Lissu...
  15. M

    Wassira akiri Mbowe na Dr. Slaa wana 'majina makubwa'

    jibu hujui, wahuni wataenda sehemu ya mkutano B, huko utawapata wakora, walevi, wabakaji, magaidi, mapadri wanaobaka watoto, waliopkonya wake za watu, tufunge milango tupigane,
  16. M

    Wassira akiri Mbowe na Dr. Slaa wana 'majina makubwa'

    wakuu wa ugaidi Tanzania hao
  17. M

    Lissu kupitia redio Tehran: Dk Slaa sio mdini ni propaganda za CCM

    jinsi mjadala wenyewe unavyoendelea hapa kuhusiana na maudhui hii tayari imeshaonekana nani wana udini humu. Kwa hiyo inaonekana udini hata humu upo
  18. M

    Lissu kupitia redio Tehran: Dk Slaa sio mdini ni propaganda za CCM

    Mahojiano ya Tundu Lissu na Radio Tehran Tundu Lissu azungumzia ugaidi unaohusishwa na CHADEMA
Back
Top Bottom