huwa naajiuliza sana, hivi hawa mgambo wanapata wapi hiyo jeuri ya kutenda unyama huu? mi naona kuna umuhimu wa kupitia upya hizi taratibu za kuwapata vijana kwaajili ya kujiunga na jeshi hili. vitu kama elimu, akili ya mtu na maisha yake kwa kipindi kilichopita vinapaswa kuangaliwa kwa umakini...
ballali yupo na naamini serikali inajua alipo na uwezo wa kumrudisha upo, ila sijui tuseme ni kiburi au viongozi wanaogopa vivuli vyao? hakuna atakayeamin eti ballali hawezekani kurudishwa nyumbani ahukumiwe kwa matendo yake, ila kinachoonekana ni uoga au self diffence ya baadhi ya viongozi wetu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.