Search results

  1. N

    Revealed: Operation Bomoa CHADEMA Mbeya, Mpango Mzima Episode 1..

    jamani mliopo Mbeya mtueleze ukweli wa habari kwamba mwenyekiti wa chama wilaya ana kesi ya kubaka mwanafunzi na ameahidiwa na CCM kushinda kesi hivyo basi Shitambala ndio aliyemuwekea dhamana polisi???
  2. N

    Askofu Mhogolo amshambulia Dr Slaa na CHADEMA; asema anawahadaa Watanzania na Siasa za Utapeli

    Naita deni kwa kuwa tayari wana madeni kwa mafisadi, walikopa kwao bila kujua wananunulika. Hakuna kitu mbaya kama mwizi kufahamu udhaifu wako.
  3. N

    Askofu Mhogolo amshambulia Dr Slaa na CHADEMA; asema anawahadaa Watanzania na Siasa za Utapeli

    Kuna baadhi ya viongozi wa deni, kutokana na mfumo mbovu katika madhehebu yao, wanajikuta wakitetea hata wasiohitaji utetezi, na unapowatetea wanashangaa, maana kweli ni jambo lililowazi kuwa mafisadi hawawezi kujitetea hata kidogo, maana nyaraka zipo na tuhuma zinapotolewa hawajibu maana...
  4. N

    Tahadhari kwa Chadema!!

    Nimeupenda sana ndgu, Dr Slaa cdm should read this
  5. N

    Uteuzi Mkurugenzi wa TBC, Katibu Mkuu na Naibu Makatibu Wakuu

    Clement Mshana, sio mtu muwazi na ambaye ataifanye TBC iwe kama Tiddo alivyofanya, kama mtakuwa na kumbukumbu nzuri huyu Clement Mshana ndie aliyezuia baadhi ya waandishi wa habari kuingia bungeni kurusha hotuba ya raisi mwaka jana, na mwandishi aliyezuiliwa alilalamika sana hata kwa kuandika...
  6. N

    EL; RA & AC Wamtunishia Misuli JK: Wagoma Kujibu Barua

    Ntashukuru kama thread hii itkuwa na mantiki katika kuibadilisha jamii ya Tanzania.
  7. N

    EL; RA & AC Wamtunishia Misuli JK: Wagoma Kujibu Barua

    Superman imekaa vyema, mi ntafurahi sana kama hwa jamaa watamlipua Mzee wa Kaya maaana, unafiki wao umezidi ndio maana anaogopa kuwawajibisha watu. Angeweza kuwawajibisha hawa toka mwaka jana mambo yangekuwa poa. Mkuu hawa jamaa hawatapenda sekta ya nishati itengemae maana ni shamba la bibi...
  8. N

    Yu wapi Dkt. Masumbuko Lamwai?

    Yupo mjini Dar, anafundisha Tumaini University, unajua siasa ilimponza hasa baada ya kutokuelewa sera ya ndugu Lyatonga, Jingine alipoingia siasa hakuzingatia maadili ya uwakili ndio maana akasimamishwa kufanya kazi ya uwakili kwa uzembe.Ila kwa sasa amerudishiwa lesini yake na anafanya kazi...
  9. N

    Kuna uhusiano wowote kati ya hawa?

    Uhusiano ni katika majina yao.
  10. N

    Kuweni makini na facebook

    Sure haijalishi, ni wapi watu wanakutana, ukiwa na tabia ya inzi utatua popote penye uvundo, huenda huyo mwanamke alifanya kukomoa. Sio hivi hivi.
Back
Top Bottom