Search results

  1. The Emils

    Kutoka Jangwani: Uzinduzi wa Kampeni za Chama cha Demokrasia na Maendeleo(CHADEMA) - Agosti 29, 2015

    Nampenda LOWASSA kwanza mstarabu sana na mcha Mungu, pili mpole na mnyenyekevu sana, TATU anawapenda Watanzania wote katika hali zao zote, nne yuko tayari kutuletea MABADILIKO ya kweli.
  2. The Emils

    Mbunge wetu Tundu Lissu umetusahau Matongo,Isuna,Mang'oni na Dumini

    Hayo maeneo bolded hayapo, Labda useme Mang'onyi na Dung'unyi Halafu inaonekana umetumwa wewe! Sasa kwa tarifa yako sisi wanakijiji wa Mang'onyi tunamtegemea Lissu kuwaondoa wale Makaburu wa shanta Gold Mine walivamia mashamba yetu tangu mwaka 2008 hatulimi, mwekezaji hewa yule anawatumia mkuu...
  3. The Emils

    CHADEMA yaanza kupora wanachama wa CUF mikoani

    Njoo chukua buku 7 za lumumba wewe si bure umetumwa!
  4. The Emils

    CHADEMA yafunika Mang'ula kwa mkutano wa kihistoria

    Ni sheeeeeedah! Magamba wanahaha, Kinana anawaza atanzia wapi kijibu mapigo, akienda kusini, kaskazini panawaka moto hahahaa...2015 mapema tu ikulu yetu.
  5. The Emils

    CHADEMA Kuiteka Dar Jumapili.Ni hitimisho la M4C-OPD Jangwani...

    Laiti Dar ingekuwa kama Arusha, Mafisadi wote wangekuwa Magereza! Dar wake up please tuikomboe nchi baadae msije kujuta...
  6. The Emils

    PICHA: M4C- Operesheni Pamoja Daima ilivyotikisa leo - Afande Sele ang'arisha Morogoro!

    Ipi ya Kinana na Nape au ya Jk pale magogoni? this time Magamba lazima mkae!!!
  7. The Emils

    Rai ya Alphonce Mawazo kwa wana CHADEMA

    CDM ni kama bahari halafu ZZK ni tone la maji katika hiyo bahari..
  8. The Emils

    Bomu la Arusha: Gari la Polisi PT 1179 lilitumika

    Polisi wa Tanzania ni zaidi ya uwajuavyo, ngoja tusubiri tuone
  9. The Emils

    Waziri Nyalandu matatani: Adaiwa ndiye mmiliki wa Nitoke Safaris Ltd

    Kama twiga aliweza kuingia kwenye ndege na urefu wake ule, sitashangaa Nyalandu kumiliki kampuni ya utalii tena huenda kampuni yake hiyo inaiba wageni pale tanapa..
  10. The Emils

    Wassira si msafi; achunguzwe!

    Wassira janga la taifa lingine kama ambavyo ulivyo ukimwi...wassira anaweza kazi moja tu..KULALA BUNGENI WAKATI WABUNGE WENZAKE WAKIENDELEA NA MJADALA....
  11. The Emils

    Dr.Slaa ndani ya Mwanza.

    safi sana wananchi wameshaelimika mwaka 2015 tuwang'oe mafisadi..
  12. The Emils

    Unataka kucheka? Msikilize Lema alivyomtoa jasho wakili kesi ya Ubunge Arusha...

    halafu hawa wote wanatokea pale mahambe...pia ukitaka kumwona alute nenda pale blue rock karibu na uwanja wa shekh abeid oposite na golden rose hotel ana kijiofisi pale juu kaweka warembo kibao pale....hahaa huyu jamaaa bwana ni cccm
  13. The Emils

    Upembuzi yakinifu wa Kisayansi kwa yale yaliyojiri mkutano wa ufunguzi wa kampeni wa CDM

    hahaaaaaaaahaahaaz nimependa hapo kwa kutoboa sikio....camerun mwingine huyu....
  14. The Emils

    CCM yaendelea kupata wakati mgumu Arumeru Mashariki

    Nape vipi kuhusu ile ishu yako wewena Lowassa kuhusu jengo la vijana wa ccm? Au ndio hizo siasa za timing unazozungumza???
  15. The Emils

    Mkapa kujibu tuhuma mbele ya waandishi wa habari

    Ndio maana nyimbo na mapambia ya mzee Komba na TOT baada tu kifo kutangazwa walianza kuimba na kupepesa midomo....
  16. The Emils

    Pamoja na siasa chafu na rushwa tutashinda Arumeru Mashariki Lema (mb)

    Lema una matamko ya ujasiri kushinda hata ya jk...bravo kamanda
  17. The Emils

    Dkt. Mwakyembe: Nimekerwa sana na msimamo wa Jeshi la Polisi juu ya afya yangu

    Nchi imejaaa viongozi "mahaini na majangili" ole wenu siku tukijua ukweli mtatukima wewe dci na igp
  18. The Emils

    CHADEMA kutikisa Tanga kuanzia kesho, Zitto kuongoza mashambulizi

    Hii habari inathibitisha ule usemi " mbunge 1 chadema = 10 wa ccm" maneno bungeni, vitendo kwa wananchi..
  19. The Emils

    Pendekezo: SLAA amrithi SUMARI Arumeru!

    Dr sasa ni next level...ukirudi ubunge ni wazi utashusha thamani yako kama mrema...
  20. The Emils

    Mohamed Dewji na falsafa ya 'singida yetu inapaa.'

    uongo upi ambao wewe unaujua ni ukweli???
Back
Top Bottom