Search results

  1. R

    Shocking! Kupunguza foleni, Amina Amour (mbunge) ashauri serikali iongeze ushuru!

    Kaa la moto! acha kusema wana sekondari za kata, manake ndo kwanza wapo form six mwaka huu wa masomo. Hao ni wale ambao hawakuwahi kusoma hapa nchini. Hicho ni kizazi cha mafisadi na sio shule za kata.
  2. R

    Binti kanitongoza

    Kwani kuitwa mme mtarajiwa ni kutongozwa? Mkuu unahitji lecture ya kutofautisha kati ya taarifa na kutogozwa! Kaka hapo umepewa taarifa so act now kadiri ya moyo wako. Be serious man
  3. R

    Binti kanitongoza

    kwani kuitwa mme mtarajiwa ni kutongozwa mkuu? unahitaji lecture ya kutofautisha kati ya taarifa na kutongoza. Mkuu hiyo uliyopewa ni taarifa! so take care and act positively kadiri ya matakwa ya moy wako
  4. R

    kwani lazima?

    Umetumia vigezo gani kuhukumu kwamba kakulazimisha? kama kweli unampenda utajitambulisha pasi na shaka kakaa. Ondoa hofu anakuhitaji kwa maisha yake yote, je upo tayari? vinginevyo mwambie ukweli
  5. R

    MMU na Lugha gongana!

    Nadhani kuishia kati ni over use ya enter key pasi lazima, any haina ubaya
  6. R

    ndoa inanishinda nipen mawazo yenu

    Bi dada vumilia, kwani huko ndio kutimia kwa maandiko ya wazazi ya "kua uyaone!"
Back
Top Bottom