Search results

  1. S

    CHADEMA yaumbuka: UTPC yaipinga kuhusu kujenga Mnara wa Mwangosi

    Hili la kujitafutia umaarufu wa kisiasa mimi sidhani kama ni kweli maana ni dhahiri kwamba chadema ni MAARUFU
  2. S

    CHADEMA kumjadili Kikwete

    Ben hawa jamaa unawapiga mno za uso. Maana wao kwao wanaona agenda pekee ni kadi ya Dr. Slaa
  3. S

    Kibanda kuwa Managing Editor wa New Habari kuanzia Disemba 1, 2012

    Kwa makala aliyoiandika jana mimi naona anachelewa kuondoka. Alijipambanua wazi yuko mrengo gani kiasi kwamba ameweza kuwapa gazeti la uhuru leo kichwa cha habari
  4. S

    Matokeo ya Uchaguzi wa Madiwani October 28, 2012

    Halafu Lowassa eti alisema uchaguzi ukirudiwa a.town watashinda. cdm nomaaaaaaaa, tumemdhihirishia tena kwamba sisi hatuwezekaniki
  5. S

    Pendekezo: John Heche amrithi Zitto Kabwe

    Naona kuna watu wanapata shida sana wanaposikia Mzee Mtei akitoa kauli kuhusu chama. Jamani tuwe wakweli hivi wakati Nyerere akiwa nje ya uongozi wa ccm na serikali mbona alikuwa akitoa matamko mazito yamkini yaliyowahusu hata viongozi walioko madarakani na hotuba zake tunazisikia hata hivi...
  6. S

    Lowassa: Tutachukua jimbo la Arusha kama uchaguzi ukirudiwa!

    Huyu mzee vipi kwani Arumeru Mashariki ilikuwa mkoa gani? si alipanda jukwaani huyo na akapambwa kwenye baadhi ya media mbona bado waliangukia pua?
  7. S

    Sheikh Mustapha Shaban Rajab wa Dodoma: Wabunge watakiwa kuacha kutoa kauli zenye Kumfedhehesha Rais

    ''Kadhalika laana isiyo na sababu haimpigi mtu''(Mithali 26:2)
  8. S

    CHADEMA wako tayari kumpokea Lowassa

    Ngoja ninunue hilo gazeti kwanza maana siamini kuwa ni Mwigamba ninayemfahamu. Huyu akiingia cdm siku hiyohiyo naachana nacho na kadi yao nawarudishia pale ngome
  9. S

    Black Consciousness BY Steve Biko

    Godbless Lema
  10. S

    Pendekezo: SLAA amrithi SUMARI Arumeru!

    Jamani kwanini kumzungumzia? Yeye mwenyewe alijibu kwenye gazeti la jana lililoanza kutoa habari hizo, tena kwenye taarifa ya habari ya Mlimani Tv akatolea ufafanuzi. Kwa ufupi ''HATAKI'' mbona haya magazeti yanamlazimisha?
  11. S

    TBC1 (television ya taifa) wanapotosha taarifa kwa umma... Why?

    Mimi ninawashauri ndugu zangu watangazaji kwamba ingawa mko kazini lakini pia mnatambulishwa kwa imani zenu, ni vema mkaongozwa na dhamiri zenu mfanyapo hayo. Hakutakuwa na kujitetea kwamba nilifundishwa uongo
  12. S

    Zitto Kabwe arejea

    Mbona alivyorudi alizungumza na kueleza kwamba amepona kabisa isipokuwa anahitaji muda wa kutosha apumzike.
  13. S

    CHADEMA ndani ya Songea mjini

    Mkuu asante sana kwa hotuba hiyo ya mh.Zitto na kama ulichukua na ya Mh.Mbowe tuwekee maana jumbe hizi zinztujenga sana
Back
Top Bottom