Search results

  1. D

    Mke wangu habebeki...

    mkuu fungua macho haraka upesi, women will always remain women,kumbe tuko wengi tuu tunao umizwa na hawa wake,mimi pia nafanya kazi nchi ya nje ,alipo aanaza tu mambo na hela na kulalama kuwa haitoshi sikuchukuwa muda tunavyo ongea hivi sasa mimi nimeamua kumukatia msaada hata wa dola moja...
  2. D

    Mke wangu ananifuatilia FB

    kaka hapo naona umekua na moyo wa huruma sana, inabidii uchukue hatua kama mume ndani ya nyumba, kosa la kwanza kama anaweza megwa na rafiki yako na unamsamehe hiyo kwangu mimi bana siwezi unyounyo na huyo rafiki yangu wakanze maisha kam mke na bwana mimi nitajipanga mbele mbele. nini bana...
  3. D

    Madini dili

    madini ya chuma ya chumvi?
  4. D

    Olympic Champion Sam Wanjiru Dies After Fall

    R.I.P wanjiru,matatizo ya kupata hela nyingi tu kaa wee bado mchanga, mke unaye lakini loo hakuna kutosheka naye,kijana mdogo tu ndio hivyo mwisho wa safari. hapa jamani twasoma funzo kali sana.
  5. D

    Nipepo wa ngono au ni kawaida??

    Hahahahaha, hiyo ngoma bana huipingi vye inavyotakikana,itabidi uongeze uchuzi kiasi,piga ngoma kisha alifajiri akiamka hataki umkaribiye kabisa maanake imechubuka.
  6. D

    Dada zetu Weusi - una matatizo gani hadi mjichubue?

    Hapa swala hili ni gumu kiasi sababu hapa naona vyombo vya habari kama runiga,radio,na magazeti zimechangiya sana mabo ya dada zetu kuingilia hali ya kujichubua ili wawe warembo zaidi,lakini hawaoni madhara yake siku za uzeeni maanake twa waona mitaani wanapowacha kutumia vipodozi hivyo sura...
Back
Top Bottom