Search results

  1. The Stig

    Bei ya kubadisha fedha za kigeni FOREX sasa kupangwa na Serikali

    Tunarudisha taifa mika 30 nyuma. Mungu atudaidie.
  2. The Stig

    TTCL, Benki ya Posta, ATC, TRL taswira ya ujamaa

    Duh umenikumbusha nilipokuwa form 3 wakati huo tuna somo la Siasa shuleni. Nilisimama kuchangia darasani na kumwambia mwalimu kuwa ujamaa ni kinyume na hulka za binaadamu - aisee mwalimu wangu, mzee akaro, alipaniki sana karobu aniadhibu.
  3. The Stig

    RC Gambo awaomba radhi wajasiriamali waliotozwa ushuru na halmashauri ya Chadema jijini Arusha

    Gambo ajifunze siasa safi kutokana na namna mkurugenzi wa jiji alivyolishughulikia. Kwanza, mkurugenzi amemwita afisa aliyekosea na kumweleza kosa alilofanya. Na hata akamshauri ofisa aombe kwenda masomoni ili aongeze ufanisi wake. Hapa ingekuwa akina Gambo wangemsweka ndani masaa 48 Pili...
  4. The Stig

    Itachukua muda gani kupata upinzani wa kweli Tanzania

    Tanzania tutapata demokrasia ya kweli pale CCM itapokuwa na kuachia dhana ya kuwa chenyewe ni chama dola chenye kushika hatamu ya kila kitu na chenye hatimiliki ya taifa. Tanzania itakata minyororo ya ukiritimba wa mawazo mgando yasiyopingwa na yanayolidumaza taifa, pale itapoelewa kuwa siasa...
  5. The Stig

    Hivi kwanini Rais Magufuli anashindwa kwa kila kitu anachogusa ?

    Watu sio ng'ombe useme utawaswaga kwa kuwachapa viboko
  6. The Stig

    Gavana BoT: Baada ya Arusha sasa ni Dar, hakuna haja ya kuwa na Bureau de change zaidi ya 100

    Jamani hawa washamba na malimbukeni wanataka kutufikisha pabaya sana. Kwanini wanataka wa control kila kitu? Hawajui hii ni nchi ya watu milioni 55. Dat yenyewe ina watu million 5, yaani watu wengi kuliko wa new zealand wote waliotapakaa duniani. Mji wa Sidney una watu million 4 tu na mabenki...
  7. The Stig

    Umuhimu wa marais wastaafu katika kuilinda misingi ya nchi

    Unejitahidi, japo dhana yako ina mapungufu makubwa mawili; 1. Kutumia Azimio la Arusha kama mfano bora wa kuweka msingi wa taifa. Hili Azimio ni moja kati ya ma disaster makubwa yaliyolikumba taifa letu. 2. Kusema eti upinzani lazima utokee ndani ya CCM. Kwa ufupi "mtasubiri sana". Pia elewa...
  8. The Stig

    Tundu Lissu: A Glitch in the Matrix

    You are the vortex that facilitates the truism of the sentence "Sooner or later these minds are sucked in by the system and they disappear before they can do any 'irreparable damage'." You are the herd of cattle that will not transform its environment even if left to pasture for 20 years. You...
  9. The Stig

    Paul Makonda, Mrisho Gambo waisindikiza Ndege Zimbabwe mpaka Zambia

    What a waste? Akina Emirates wanadeploy ma Dreamliner yao route zilizoenda shule kama DBX-JFK, sisi tunaipeleka Lusaka? Tukubali tu kuwa hizi Dreamliner zetu tunatakiwa tuzikodishe kwa mashirika yenye hubs na routes. Tuache kupotezeana muda na pesa.
  10. The Stig

    Watangazaji wa Clouds 360 wawashambulia Lissu na Zitto kwa kukosa uzalendo na kutumika kama vibaraka wa Wakoloni

    Lissu ana utajiri gani????? Unafikiri kale kamshahara ka ubunge kanaweza kumclassify mtu kuwa ameingia daraja la matajiri?
  11. The Stig

    Watangazaji wa Clouds 360 wawashambulia Lissu na Zitto kwa kukosa uzalendo na kutumika kama vibaraka wa Wakoloni

    Clouds walishabikia sana Lissu alipomiminiwa risasi. Tena walitegemea angekufa kwa kukosa hela za matibabu. Tazama Mungu asivyochezewa - Lissu anapona na Clouds wanaomba msaada boss wao apate matibabu. Lissu na umaskini wake kaponywa na michango ya watu wadogo. Clouds na mapesa yao, pamoja na...
  12. The Stig

    Musukuma: Lazima Tundu Lissu afukuzwe Bungeni

    Hiyo ni roho mbaya tu. Anapata faida gani?
  13. The Stig

    Singida: Mkurugenzi(DED) wa Halmashauri ya Itigi adaiwa kumuua mwananchi kwa risasi

    Nchi inapita katika bonde la uvuli wa kifo. Watendaji wanaonekana wanachapa kazi kutokana na kiasi gani wanaweza kuwa wakatili dhidhi ya wananchi.
  14. The Stig

    Singida: Mkurugenzi(DED) wa Halmashauri ya Itigi adaiwa kumuua mwananchi kwa risasi

    Usi Wako juu ya sheria hao makada. Usitegemee chochote hapa.
  15. The Stig

    Waziri mkuu: Rushwa tishio biashara ya korosho

    Ndiyo maana inasemwa kuwa serikali haitakiwi kufanya biashara, period.
  16. The Stig

    Mahakama zajipanga kufukuza wananchi wanaofungua kesi kuanzia tarehe 20/1/2019

    Tatizo ni kwamba kurudisha nchi katika mstari wa utawala wa sheria, baada ya madudedude kama haya yanayoendelea sasa hivi, itachukuwa muda sana.
  17. The Stig

    Tetesi: Imevuja, Chadema na Tundu Lissu wachomoa kukutana na Richard Quest wa CNN

    Natamani kujiunga na B7 na mimi niweze kumuambia mke wangu abandike mboga naenda kuleta unga, hata kama nimefulia. Hivi ukishaandika hivi, unatakiwa uprint na kumpelekea chakubanga ili aidhinishe malipo au ni mkataba wa mwezi kwa mwezi?
  18. The Stig

    Lissu haichafui Tanzania, anaeleza yale yanayotokea kiuhalisia

    Watanzania ni raia wasioelewa kabisa dhana ya serikali. Serikali siyo nchi wala siyo mmiliki wa taifa. Serikali ni chombo kilichoundwa na raia ili kisimamie mambo khadhaa ili maisha ya raia yaende vizuri. Serikali ni mtumishi wa raia na siyo vice versa. Kwamba raia wetu hawaelewi hili ni...
Back
Top Bottom