Kabisa mkuu!!!! Waondoke nao, Mtumishi mzuri wa Mungu anatakiwa avute watu wamfuate Kristo. Wamjue sana Mungu na kuamua kumpokea Kristo kuwa Bwana na Mwokozi wao. Siyo kumtaka E. K!!!! E. K. ni mtumishi wa Mungu anaweza kutumwa kokote kutenda kazi ya Bwana!!!
Kama unakumbuka vizuri nauli zilipandishwa bei ya mafut ilipopanda na kufikia 2800 na kitu hivi. Hatukupiga kelele. Ilivyopanda mpaka 3300 na kitu ndipo watu wakapiga kelele. Nauli haiwezi kushushwa kwa vile ilipanda kipindi cha 2800 na kitu.
Hakuna punguzo hapo. Hiyo ni danganya toto. Kesho kutwa tu watapandisha tena kufikia hiyo hiyo elfu tatu na kitu. Wana siasa hawawezi kuongoza nchi wameshindwa kabisa. Vitu vinapanda bei kila siku!!!!!
Ndiyo maana namshangaa Mbowe kuwaamini CCM. Adui yako siyo wa kumuamini hata kidogo. Umekaa ndani miezi sita na leo unalilia maridhiano!!! Kuna maridhiano gani hapo? Kama siyo mashinikizo toka pande zote leo Mbowe angekuwa nje!!! Huko ccm walipiga kelele sana kuwa Mbowe ni gaidi!!!! Inabidi CDM...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.