kwa mtu kama wabe hana budi kwenda kwa babu,ogopa sana kitu kiitwacho vita ya udini hapa duniani utaona ni bora hata taabu ya libya.kwamsomi vita ya udini ni balaa.watanzania tuwe na critical thinking kama hujui maana yake mtafute msomi wa mtaani kwako akwambie kwani tanzania by now kila mtaa...
WATANZANIA.tuwe makini sana na watu wanaotueleza kuhusu siasa za tanzania.kwa wale waliobahatika kupata elimu think logically,hawa ambao wanamtuumu chadema kuwa ina udini na ukabila,let us think about ccm the top layer ina waislam wangapi je twaweza kusemaje.msilopoke kwasababu aliyeazisha ni...
WABEROYA,nafikiri bdo upo pree form one ukifika kidato cha 4 and progressvely utaelewa umuhim wa chadema.toa hoja zinazofafanua hoja ya udini na ukabila.acha kupotosha watanzania unatakiwa kuwaelimisha kuhusu uraia na haki zao.ccm haitakusaidia kwa lolote
wananchi wa mbeya mjini naomba kama mnaipenda nchi yenu msiwaonee huruma ccm,mkijaribu tu kuwapa madaraka kiukweli watawatolea uvivu,sisi tuliopo makao makuu ya nchi tunaona maovu wanayofanyiwa watu wa dodoma.hawa ndo wanaolinda rasilimali za makao makuu ni noma je nyinyi itakuwaje,acheni woga...
tatizo kwa nchi yetu kuu ni kutokuwa busy au kutokuwa na kazi maalum ya kufanya,jambo lingine ni utandawazi kwa wanawake kwa suala la mavazi.by me udom
kwa kazi tuliyoifanya dodoma this week kweli watanzania wameamka kwani vyuo vina watu kutoka kila pande ya tz,ila bado kuna wasomi ambao hawajaelimika kwa kuogopa ccm.mungu bariki udom
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.