Search results

  1. T

    Manji bado anaumwa, apatiwa matibabu gerezani

    MANJI AKIMBIZWA MUHIMBILI Mfanyabiashara Yusufali Manji (41) bado anaumwa na amepelekwa Hospitali ya Taifa ya Muhimbili, Taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete (JKCI). Hayo yameelezwa leo na Wakili wa Serikali Mwandamizi, Nassoro Katuga, mbele ya Hakimu Mkazi Mkuu, Huruma Shaidi wakati kesi yake na...
  2. T

    Kwanini Waislaam wanaelekea kibra muda wa kusali au kuchinja?

    Amri hii ya kuamrishwa wailamu kuelekeza nyuso zao sehemu flani haijaanza sasa tokea manabii waliopita nao waliamrishwa hivyo Soma kumbukumbu la torati :12-5 mungu anasema Lakini mahali atakapo chagua bwana mungu wenu, katika kabila zenu zote, apaweke jina lake, maana ni makao yake...
  3. T

    Josephine Lemoyan na Pamela Maasay wachaguliwa kuwa wabunge wa Afrika Mashariki kutoka CHADEMA

    Kama waliyoshinda hawana uwezo zigo la lawama lote ni kwa wajumbe wa chadema wao ndiyo wamependekeza majina mbumbumbu Mi binafs staki kuamin hilo bali ninacho amini chadema walitaka kucheza mchezo mchafu kwenye demokrasia
  4. T

    Josephine Lemoyan na Pamela Maasay wachaguliwa kuwa wabunge wa Afrika Mashariki kutoka CHADEMA

    kama wabunge waliyo chaguliwa hawana uwezo wakulaumiwa chadema ndiyo waliwapendekeza wanawake mbumbumbu
  5. T

    Mtu nnayetamani kukutana nae Face to Face kutoka JamiiForums

    Mi ningependa kukutana na faizafoxy popote alipo
  6. T

    Mfanyakazi asimamishwa Clouds kwa kutangaza habari ya Paul Makonda, TEF yaitaka mitandao iunge mkono

    ni kweli ilikuwa juma tatu kwenye kipind cha spots bar alikuwa anazungumzia ujenzi wa uwanja wa ndondo cup bandari kwa vile mkuu wa mkoa ndiye aliyemshawishi mfadhili kujenga uwanja huo ndiyo akasema uwanja utakapo kamilika utakabiziwa kwa mkuu wa mkoa nafikir hilo ndiyo limemponza
  7. T

    Ibada ya Jumapili 26/03/2017 Bishop Dr Josephat Gwajima, Wageni kadhaa wahudhuria

    Sawa mimi sikupangii lkn ktk maamuzi yako weka maslah ya nchi mbele
  8. T

    Ibada ya Jumapili 26/03/2017 Bishop Dr Josephat Gwajima, Wageni kadhaa wahudhuria

    bado sijamsikiliza mm binafs sikubaliani na ubaguzi wa aina yeyote uwe wa dini kabila au vyama vya siasa nitamuunga mkono mtu yeyote kwa maslah ya nchi yetu mm binafs siikubali ccm au niseme nilikua naichukia sana ccm lkn kwa sasa nakubaliana baadhi ya mambo anayofanya rais nafikir weng...
  9. T

    Ibada ya Jumapili 26/03/2017 Bishop Dr Josephat Gwajima, Wageni kadhaa wahudhuria

    hii inchi inasikitisha sana ss wananchi hatupaswi kumuunga mkono mtu yeyote anaetumia mambo ya kitaifa kwa maslah binafs huyu mzee amejificha kwenye koti la kupambana na vyeti feki wakati hana dhamira hiyo dhamira yake kuu ni kilipiza kisas huyu mtu si wakuungwa mkono anaetumia jambo la...
  10. T

    Rais Magufuli amkingia kifua Paul Makonda. Asema yeye ndie anapanga nani akae wapi!

    hiyo ni kweli huwezi kutofautisha matukio yaliyotokea hv sasa kwa bashite na gwajima tukianza cheti feki kukimbia nchi kuvamia clouds yote hayo huwez kumtenga gwajima mihemko hiyo yote ameipata kwa sababu ya gwajima ndiyo aliye muathir kisaikoloji kutokana na mashambuliz yake mahubili yake...
  11. T

    Rais Magufuli amkingia kifua Paul Makonda. Asema yeye ndie anapanga nani akae wapi!

    kwa sababu waliyoanza kupambana na makonda walikua na agenda yao binafs ya kulipiza kisas wala akina gwajima hawapambani na makonda kwa maslah ya nchi bali agenda yao kwa hiyo rais yupo makini hawezi kumtumbua makonda kumsaidia gwajima nakundi lake kulipa kisasi
  12. T

    Nape Moses Nnauye; Shujaa wa awamu kandamizi

    huyu siyo shujaa alikua anawasaidia watu watimize malengo yao binafs ya kulipa kisasi
  13. T

    Kamati kuu CHADEMA kukutana kikao cha dharura Dar es Salaam

    tulijua lazima watafichuka mafichoni wenye agenda yao ametumbuliwa mtu wa ccm wao kikao cha nn
  14. T

    Mwanahabari Jerry Muro ahoji uhalali wa tume ya Mhe. Nape Nnauye

    kwani ww huyajui uwaoni watu mpaka kanisani wameacha kuubilr injili wanaubir makonda haya ni mapambano ya kulipa kisasi kwan akina gwajima waliwah kufanya jambo gani au kutetea kwa maslah ya nchi yetu Suala makonda kuvamia clouds nyinyi na gwajima ndiyo mumechangia kwa kiasi kikubwa Yale...
  15. T

    Mwanahabari Jerry Muro ahoji uhalali wa tume ya Mhe. Nape Nnauye

    ndiyo tatizo lenu muro katoa hoja za msingi we unaleta muhemko tu nakuhakikishia agenda yenu haitatimia kwani dhamira yenu makonda tu na wala hamna tatizo na wenye vyeti feki wengine nyinyi munapambana na mtu kwa malengo yenu binafs
  16. T

    Magufuli na Makonda watawaweza 'watoto wa mjini'?

    hamto fanikiwa munatumika na watu kwa malengo yao mbona hatujawah kuwaona wakipambana kwa lolote kwa ajili yetu as wananchi wameng"ang"ania tu hili la makonda wana agenda yao tuskubali kutumika kuwatimizia watu malengo yao mbona hatujasikia wakipambana na waovu wengine mbona wamemng,ang,ania...
  17. T

    RC Makonda avamia Clouds na kuwatisha SHILAWADU

    Kama anasingiziwa akapime DNA tuendelee na mambo mengine
  18. T

    Je, NAS Haulage kamhonga gari Paul Makonda ili asisumbuliwe kuhusu tuhuma za madawa ya kulevya?

    Rudia kusoma post yangu hujanielewa hakuna pahala nimesema bashite kafanya sawa
  19. T

    Je, NAS Haulage kamhonga gari Paul Makonda ili asisumbuliwe kuhusu tuhuma za madawa ya kulevya?

    Sawa ni muhm kuwa na dhamira kama hiyo tuungane kupambana na wabadhilifu popote walipo nchin bila kubagua mapambano ya namna hy ndiyo yataleta tija kwa nchi
Back
Top Bottom