Search results

  1. Sibhonike

    Alitalia/shefard one VS. Air force one

    Ngada ni noumaaaa. Cc:amadiora
  2. Sibhonike

    Orodha ya timu zilizopanda daraja mpaka ligi kuu VPL

    Mambo ya hamasa, ni ndani ya UWANJA WA NANGWANDA SIJAONA. Viongozi mbalimbali wametoa hotuba zao za hamasa kwa wachezaji na Wanamtwara kwa ujumla.
  3. Sibhonike

    Orodha ya timu zilizopanda daraja mpaka ligi kuu VPL

    Waendesha bodaboda nao wako na shamrashamra za kutosha hapa. Ila wanahitaji ushauri na elimu ya usalama barabarani.
  4. Sibhonike

    Orodha ya timu zilizopanda daraja mpaka ligi kuu VPL

    Umati wa wana Mtwara umejaa pande zote mbili za barabara. Tatizo simu yangu ni ya tochi. Nawaomba radhi wadau kwa kukosa picha za ushuhuda.
  5. Sibhonike

    Orodha ya timu zilizopanda daraja mpaka ligi kuu VPL

    Muda huu ndio kuna mapokezi ya hali ya juu hapa Manispaa ya Mtwara. Wachezaji na viongozi wa timu, wamewasili na ndege ya saa 9 Alasiri.
  6. Sibhonike

    Tarehe/siku nzuri kwa mimba kuweza kutungwa

    Ahsante sana mchuzi. Tarehe 18.March tulifanya kazi nzuri sana. Natumaini MUNGU atatujalia.
  7. Sibhonike

    Tarehe/siku nzuri kwa mimba kuweza kutungwa

    Day 1, ilikuwa tarehe 01.March. Mzunguko wangu ni siku 35.
  8. Sibhonike

    Yaliyojiri Bungeni Dodoma: Ijumaa Tarehe 21 Machi 2014 - Hotuba ya Rais, Uzinduzi wa Bunge Maalum

    Dahh!! Jaji Warioba alibaniwa muda wa hotuba yake. Huyu jamaa sasa...? Blah! Blah! Nyiiiiingiii...
  9. Sibhonike

    Yaliyojiri Bungeni Dodoma: Ijumaa Tarehe 21 Machi 2014 - Hotuba ya Rais, Uzinduzi wa Bunge Maalum

    Dahh!! Jaji Warioba alibaniwa muda wa hotuba yake. Huyu jamaa sasa...? Blah! Blah! Nyiiiiingiii...
  10. Sibhonike

    Rais wangu shein umesahau usaliti wako ulipokua wazir wa afya?

    Hebu dadavua kidogo ndugu. Jinsi ulivyoandika, ni kama kila mtu anajua udhaifu wa Dr. Shein. Tujuze na sie yakheee KIGOGO.
  11. Sibhonike

    Malasyia airline!Tb Joshua amalizia utabiri

    Mhhh!! Stay in a white line.
  12. Sibhonike

    Msaada range rover

    Chukua ata bajaji, inakula vizuri mafuta. Lita 1, unapiga ruti hadi unachoka.
  13. Sibhonike

    Maumivu ya tumbo chini ya kitovu after sex

    Punguza hiyo idadi ya hao wapenzi kwanza! Zaidi ya wanne, duhhh! Back to topic, Inawezeka unapenda kutumia style fulani wakati wa kusex, may be uliiona kwenye pornograph au unaipendelea kwa sababu inakupa raha sana (inakufikisha kileleni kwa wakati). So check out with that, please.
  14. Sibhonike

    Ushuhuda: Madhara mbalimbali ya Vidonge vya Uzazi Wa Mpango

    Hapo kwenye capital letters, Nyamayao umenigusa! Huu ni mwaka wa 2-3 kwenye ndoa. Msaada japo kwa PM tafadhali.
  15. Sibhonike

    Majangili yakamatwa Nanyumbu, dereva wa Mh. Hawa Ghasia abambwa

    "Tanzania nakupenda kwa MOYO wote"
Back
Top Bottom