Search results

  1. W

    Nani kafumaniwa

    Kwa koment zako mkuu kama huyu jamaa hajakuelewa naomba nishauri kuwa kwanza kama ni muumini wa dini yeyote aende akafanyiwe maombi au dua ya kuweza kumuepusha na huyo ibilisi aliyemvaa huyo binti na maombi au dua yenyewe yawe ya kumuachanisha nae, kama sio muumini basi akawaone wataalam...
  2. W

    Nani kafumaniwa

    Kwa koment zako mkuu kama huyu jamaa hajakuelewa naomba nishauri kuwa kwanza kama ni muumini wa dini yeyote aende akafanyiwe maombi au dua ya kuweza kumuepusha na huyo ibilisi aliyemvaa huyo binti na maombi au dua yenyewe yawe ya kumuachanisha nae, kama sio muumini basi akawaone wataalam...
  3. W

    Kulikoni Kepteni Komba ?

    jamani huyo si alikuwaga soja? Inakuwaje soja anajiachia mwili hivyo? Jaman tuzingatie mazoezi japo mara mbili kwa wk, sasa unakuta mtu katembea sana kwa miguu ni mita kumi mda wote kwenye gari akitoka hapo ni kwenye sofa lzm miguu ielemewe na mzigo kwa nini hawaigi mfano kwa mzee Ruksa?
  4. W

    Maeneo yenye majina ya ajabu Tanzania

    Mmesahau Nyegezi iko Mwanza na ukiandikiwa RB na kituo flan cha manjagu wao wanaandika NYEGE wakimaanisha kifupisho cha Nyegezi! Kunduchi je?
  5. W

    Sintonunua tena gazeti la The Citizen

    aaahh jamani nyie hamjamuelewa huyo! Yaani anataka mumsaidie kuliponda gazeti husika ili a-conferm kama yuko sahihi ktk mawazo na maamuzi yake! Lkn ananikumbusha huko kwetu nilikokulia kulikuwa na chizi mmoja alikuwa kila akiudhiwa anachukua chupa ya soda anaanza kuiponda ponda tena anafanya...
  6. W

    Taratibu za kufuata ili kumiliki Silaha ya Moto Tanzania

    bana hebu acheni kuzingua MJESHI halafu anaulizia habari za taratibu za kununua silaha? Huyo hayuko siriasi anataka kuzingua kijiwe bwana na bahati mbaya hii siyo sehemu ya kujipaisha! Kwa bongo yetu ukishakuwa mjeshi unaheshimiwa hadi na vibaka ukitaka kuprove hilo jaribu kuvaa kombati...
  7. W

    TUSEMEZANE: Je ni kitu gani ndani ya maisha yako umekipa Kipaumbele zaidi ya afya yako?

    manuu uko sahihi kabisa ndg yangu hawa watu pesa kwao ndio kitu cha kwanza hawaangalii hata kipato cha mtanzania wao wanadhan wote waendao kwao ni mafisadi wako sahihi sana kusema madawa ya kizungu mengi ndo yaongezayo magonjwa na kwa kigezo hicho wanafanya jitihada nyingi kutueleza madhara...
  8. W

    The rise and fall of Colonel Muamar Gadaffi

    Umeona Angel eeehh! Walibya siwaombei mabaya kwani si kosa lao kwani walikuwa na uwezo wa kufanya kama wenzao misri na tunisia lkn hawakufanya hivyo malipo yake ndo yameisha anza tena mapema sana!
  9. W

    Maana ya Man United!

    jamani hata leo bado hamjai kiingereza? Hao mafirauni ni MEN UNITED na sisi ni MAN UTD hamuoni tofauti, au ndo mnatafuta majungu tuu?
  10. W

    Chooni na RADIO

    Jamani sasa hizo bange live!
  11. W

    katuni gani inakuuua mbavu?

    Kaka LEO umenigusa juu ya hivyo vichwa hapa bongo ila kuna mtambo mmoja unachora sana Mwanaspoti jamaa anaitwa Chris Katembo!
  12. W

    nokia

    Yap hiyo mwana imekaa sawa ila kwa sababu ya mambo ya kiteknolojia na utambuzi wa mambo ya mbali utakuagiza na ungo wa DSTV ukiwa full na Samsung TV inchi 32 ili aweze kukuonesha kwa urahisi matatizo yako!
  13. W

    Wanandoa wanapochokana.

    mbaya sanaaaaaaa! Ooooh God wasaidie wanandoa wasichokane!
  14. W

    Mkeo anakupokea na khanga na usemi wa "asenane man six kangamoko ndembe ndembe"" unamfanyaje??

    Ntaanza na kumpeleka chumbani tujadili hasa juu ya kilichokuwa kimefichwa ndani ya kanga na mjadala huo utakuwa unaendelea huku tukiwa mafichoni fulusuti!
  15. W

    Hawa ndio mabinti wa karne.

    Do everything otherwise i will shoot you
  16. W

    katika hali ya kutongoza

    Ndo tatizo la uchoyo wana jamii mnadhan kama jamaa angekuwa hashindi njaa unadhani angesumbua kusimama? Jamani njaa mbayaaaaaaaaa}
Back
Top Bottom