Search results

  1. N

    Paul Makonda akamatwe kwa kudhamiria kuhujumu zoezi la ukusanyaji kodi

    Kuna watu wakicomments kunatokea harufu kalii. Sent using Jamii Forums mobile app
  2. N

    Paul Makonda akamatwe kwa kudhamiria kuhujumu zoezi la ukusanyaji kodi

    Kuendelea kumuacha ni hasara kwake mwenyewe, kumuondoa nikumpa credit. Ni jukumu lake sasa amuondoe au amuache aendelee kumuharibia. Sent using Jamii Forums mobile app
  3. N

    Paul Makonda akamatwe kwa kudhamiria kuhujumu zoezi la ukusanyaji kodi

    Uliyonena naona yanatimia. Sent using Jamii Forums mobile app
  4. N

    Paul Makonda akamatwe kwa kudhamiria kuhujumu zoezi la ukusanyaji kodi

    Uliyonena naona yanatimia. Sent using Jamii Forums mobile app
  5. N

    Paul Makonda akamatwe kwa kudhamiria kuhujumu zoezi la ukusanyaji kodi

    Angekuwa na nia njema asingekana mzigo tokea awali, Kauli zake za awali zinatia shaka na kuharibu dhana nzima ya msaada aliosema baada ya kubanwa. Video hiyo hapo chini ifuatilie kwa makini. Sent using Jamii Forums mobile app
  6. N

    Paul Makonda akamatwe kwa kudhamiria kuhujumu zoezi la ukusanyaji kodi

    Jembe achana na hizi takataka za Kijani,ulichokisema kimeeleweka kwa [emoji817] % Sent using Jamii Forums mobile app
  7. N

    Kilewo: Wanaosaliti Harakati tuwageuze kuwa maadui

    Katibu wa Chadema Dar es salaam Kuu Ndugu Henry Kilewo amenukuliwa kwenye pages zake za Mitandao ya Kijamii akisema Wanaosaliti mageuzi wageuzwe kuwa maadui,Nimeweka nukuu yake hapo, Kama members hii ikoje? Sent using Jamii Forums mobile app
  8. N

    Henry Kilewo ataka Wamasai Warejeshewe Milioni 17 za Ng'ombe

    Katika Ukurasa wake wa Twitter Katibu wa Mkoa wa Dar as salaam (Greater Dar es salaam) wa Chadema Ndugu Henry Kilewo ameandika atataka Milioni 17 za Wamasai zirejeshwe kwakuwa Ng'ombe wao walipigwa Mnada na hawajapigwa faini kama hapo awali walivyokuwa wamekubaliana Ila Baadae wakageuziwa Kibao...
  9. N

    Wizara ya michezo inaendesha Semina ya Kibaguzi Mwanga Kilimanjaro

    Wabaguzi wanaishi kibaguzi hawana fikira zingine
  10. N

    Wizara ya michezo inaendesha Semina ya Kibaguzi Mwanga Kilimanjaro

    Napita nikirudi nipate jibu la kuridhisha kwa mamlaka iliyoidhinisha uchafu huwo.
  11. N

    Kilewo:Tume ya taifa ya uchaguzi(Nec) italigharimu Taifa

    Haya ni mambo ya msingi sana kwa ustawi wa haki na amani ya nchi yetu, ulazima wa kuboresha daftari hilo ni mkubwa sana kuliko wanavyodhani. Ni lazima tuliboresha sasa ili kila mtanzania mwenye haki ya kujiandikisha ajiandikishe kisha ashiriki kwenye jambo hilo la msingi la nchi yake.
  12. N

    Uelewa mdogo wa siasa za Henry Kilewo ndani ya CHADEMA na ndoto zake

    Mkuu. kitendo cha kumshambulia mtu sikitendo chema hata kidogo, unasema (uelewa mdogo wa siasa za henry kilewo ndani ya chadema na ndoto zake) neno hili hukunyambua ukaliacha likasimama kama lilivyo kwa maana hiyo basu umeamua kumtusi Kileo? Hapa nitapinga na wewe sana juu ya siasa za kileo...
  13. N

    Uelewa mdogo wa siasa za Henry Kilewo ndani ya CHADEMA na ndoto zake

    Ulichoandika kinajibiwa na jina lako.
  14. N

    Uelewa mdogo wa siasa za Henry Kilewo ndani ya CHADEMA na ndoto zake

    Tutakujibu baadae kidogo ngoja tutafakari..
  15. N

    Mbunge wa Arusha, Godbless Lema aamua kugawa picha za Kugushi za kumdhalilisha!

    Maccm waendelee kukesha mitandaoni....
  16. N

    CHADEMA yazidi kuungwa mkono Jimbo la Waziri Maghembe

    Ujumbe mzito kwa wakati muafaka, haya sasa Lumumba pelekeni ujumbe huwoo mkapata buku 7
  17. N

    Magembe hatihati kutorudi Mwanga 2015...

    napita namkubali kamanda
  18. N

    Mahojiano kati ya Hoyce Temu na Godbless Lema sehemu ya pili kesho kupitia Channel Ten Saa 7:30 PM

    Lema anatiririka na kusema watawala warejee Utawala wa France ulivyoangushwa mara baada ya wananchi kupoteza imani na vyombo vya usalama...
  19. N

    CHADEMA na Polisi wakubaliana kusitisha maandamano ya Machi 25

    mwenyekiti wangu mbowe namkubali sana, anauwezo wa hali ya juu
Back
Top Bottom