Kuna ka kitu nimekagundua maraisi wote walio pita walikua na uwiano Wa kidni ingawa inchi yetu haingozwi kidini awamu ya kwanza baba Wa taifa mkristo akaja muislamu,akaja mkristo,akaja muslamu,akaja mkristo nafikiri awmua ya sita,,,,,,,? Wana JF au viongozi wa dini hizo huwa wanshirkishwa kuleta...
Katika maaandiko takatifu yesu arijaribiwa na shetani kwa kumuambia badli jiwe hill kua mkate lakini aksema siwezi mjaribu bwana mungu wangu, JE? kama wewe mwana JF ikatokea shetani akakujaribu kila jani la mwembe kua noti ya ELFU KUMI umsaliti mwokozi wako kwa haraka nini utafanya?
Naombeni ushauri hua natumia Siku nzima kugegeda mzigo wangu kama masaa 24 au
narudia tendo zaidi ya mara 6 lakini nikimaliza nauwezo Wa kaa miezi 2 vipi wana JF ni tatizo hlo?
Wana JF,
Nomba ushauri, nilipandishwa daraja 2011 toka daraja iii nakua ii halmashauri fulani lakini baada ya kudai marekibisho ya mshahara utumishi akaniandikia barua kua nipeleke cheti cha shahada ndipo nibadilishiwe mshahara na nilipandishwa nikiwa diploma.
Hivyo nichukue hatua gani wana JF.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.